Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

Mwenyezi Mungu amjalie mabikra maradufu peponi
Ikibidi na mimi najitolea wangu watano apewe hana baya 😁😁
 
Vizuri kusema tofauti na bwana yule maana malaika haumwi.
 
Kifua tu ndio tutangaziwe ...mpaka uzee wake ameumwa vingapi hatujatangaziwa.....kuna kitu hakiwekwi wazi kwa hali yake ya saiv...

Tangazo ni lakupelekwa hospital hayo anaumwa nini ni kama nyongeza Tu, kama kifua kimempeleka mtu hospital basi ujue ni Jambo seriously
 
Kifo Cha Magufuli ni Mpango wa watu. Asinge tangazwa mpango kabila haujatimia
 
Ee Mungu Mwenyezi tunamuomba umponye Mzee wetu pamoja na wagonjwa wengine wote waliopo manyumbani na hospitalini
 
Chanzo cha graduates kukosa ajiri kilianzia kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…