Apumzike kwa amani mzee wetu, hana deni kwa watanzania maana alifanya kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake katika kuwaondoa watanzania katika dimbwi la umaskini..
Lala salama mzee wetu kazi umeimaliza na uliwatendea haki watanzania wote kwa kugusa maisha ya kila mtu..