TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
pumzika kwa amani rais mstaafu ali hassan mwinyi dunia itakukumbuka kwa kuibadilisha Tanzania kutoka kwenye mfumo wa ujamaa na kujitegemea hadi mfumo wa ubepari.

Ni wewe ndio uliye ifanya Tanzania ikakua kiuchumi mpaka sasa ilipo bila maono yako Tanzania isingekuwa hivi

Nb.rais mwinyi alizaliwa mkurang, pwani Tanganyika mwaka 1924 na amefariki leo tarehe 29/2/2024


R.i.p
 
Tunamsubiri kwa hamu kubwa sana kumsikia mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita...
Hivi wewe.kichwani huwa una nini?

Acha upumbavu narudia tena acha upumbabu nasema tena acha upumbavu..

Taarifa ya Msiba na ulichoandika vinafanana?

PUMBAAAAAVU SANA WWEEE KIJANA.

WATU TUNA MACHUNGU YA MSIBA UNALETA UPUUUZI PUMBAAAAAAVU SANA
 
Back
Top Bottom