Harafu hicho ni kizazi kilicho goma kabisa kuzeeka🤣🤣🤣
 
Nawaza tu.

Sijui ratiba za Kuvaa magwanda ya Kijani au "Makombati" itazingatiwa au lah.😁

Mwendazake ndie aliyetoa 'ruksa' za Vyama vya siasa.

Demokrasia.
 
Ungepata breakfast kwanza then utulie uje uandike. Huyo Msechu ni nani yako? Anahusikaje hapa?
 
tetesi ni kuwa alikufa some weeks or back
 
Vile alikuwa Rais tu la sivyo angezikwa leo hii. Ndio maana anazikwa kesho. Lowassa ilichukua siku 8 ndio kazikwa.
 
Who's next?😅
Hadi raha ameishi hadi basi, neema ya umri mrefu sio jambo la kila mmoja wetu.

RIP Mzee ruksa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…