Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wataje waliosema mzee aliacha wosia azikwe mkuranga ili tuwaujue wanaodharau wosia wa marehemu.Walisema mzee aliacha wosia wake kuwa azikwe kwao Mkuranga; imekuwaje watoto wamedharau matakwa ya marehemu?
Kuna athari gani kwa familia wanapokiuka matakwa ya marehemu kama yalivyoainishwa kwenye wasia wake?