TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Ni kutokuwa makini tu ndo kumesababisha watangaze siku hii. Tunahitaji kumkumbuka mwendazake Mstaaru Ali Mwinyi kila tarehe ya kifo chake. Hawakufikiria hili wametangaza tarehe ambayo inakuja kila after 4 years.

Haya mambo yanahitaji mtu mwelewa awe anafuatilia hizi tarehe na matukio yake. Kwa nini hawakuamua kutangaza tarehe 28/02 au kabla ya hapo? Au wangevuta subra mpaka tarehe 1?

Mzee baba unataka upange hadi tarehe ya mtu kufariki?
 
Ni kutokuwa makini tu ndo kumesababisha watangaze siku hii. Tunahitaji kumkumbuka mwendazake Mstaaru Ali Mwinyi kila tarehe ya kifo chake. Hawakufikiria hili wametangaza tarehe ambayo inakuja kila after 4 years.

Haya mambo yanahitaji mtu mwelewa awe anafuatilia hizi tarehe na matukio yake. Kwa nini hawakuamua kutangaza tarehe 28/02 au kabla ya hapo? Au wangevuta subra mpaka tarehe 1?
Samia hataki uongo kama wa majaliwa, ma CCM mmezoea uongo uongo tuu hadi na weee unakuja hapa kutaka rais Samia nae atudanganye.
 
Kati ya UPUUZI watanzania Wengi wanaaminishana ni kwamba Kila kiongozi ikitangazwa Kafa, Basi ni Uongo, alikufa kabla....ukiwauliza sbb na proof watakutaji nyimbo, Hivi kweli wimbo wa maombolezo ndio Uingie kwenge uongo mkubwa hivyo?
Kama ni kweli basi ni ubogas.

Yaani tayari umeandika kama una uthibitisho kua alifariki kabla..
Daaaa.

Hao akina Msechu inajulikana ni wazee wa Nyimbo za Maombolezo, ukute wana Nyimbo nyingi tuu zishasetiwa ni kuchomeka tu majina.
 
Hivi ule ugomvi waliosema unaamuliwa umeshaisha au..?

Hata hivyo lile benzi la zawadi ya birthday waliuze wajenge madaraja 😄
 
Kati ya UPUUZI watanzania Wengi wanaaminishana ni kwamba Kila kiongozi ikitangazwa Kafa, Basi ni Uongo, alikufa kabla....ukiwauliza sbb na proof watakutaji nyimbo, Hivi kweli wimbo wa maombolezo ndio Uingie kwenge uongo mkubwa hivyo?
Kama ni kweli basi ni ubogas.

Yaani tayari umeandika kama una uthibitisho kua alifariki kabla..
Daaaa.

Hao akina Msechu inajulikana ni wazee wa Nyimbo za Maombolezo, ukute wana Nyimbo nyingi tuu zishasetiwa ni kuchomeka tu majina.
Dahhhhh....
Mkuu, naona umeamua kufoka kamili bado alfajiri..🤣
 
Back
Top Bottom