Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 98.

Taarifa hii imetolewa usiku huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

View attachment 2920484
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WAKUTANIKAPO TAI NDIPO MZOGA UNGALIPO ...wema hawafi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tupo msibani alafu unaleta ngonjera bwana mdogo
 
Ushaanza kuvimba bichwa sasa.
 
Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 98.

Taarifa hii imetolewa usiku huu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

View attachment 2920484
Kwanini wasingesubiri tu watangaze kesho? Kwahiyo ndio kusema kuadhimisha siku ya kifo chake itakuwa hadi baada ya miaka minne?
 
Wakutanikapo tai ndipo mzoga ungalipo je tai tunakutanika wapi? Wamasai watakuwa na furaha sana leo mungu kaingilia kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…