Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi


Acha nao wajaribu kuongoza nchi,hata wakifeli shega tu.Kwani nchi iliandikwa wakina Conde tu ndio wenye hatimiliki ya kuongoza nchi?Tena wangempiga na pumbuh kabisa.
 
ccm wako smart ndio maana ni moja ya vyama bora sana duniani[emoji1][emoji1]

we ushasikia wapi mtu kamaliza miaka kumi ccm anakomaa na funguo za ikulu!!!

wapinzani kule ndio wana style hiyo ya kukomalia ofisi.
Hakuna u smart wowote chief,angalia ubunge ni uongozi usiokua na kikomo.
 
Jumuiya ya kimataifa itapinga.......
Jumuiya ya kimataifa haiwezi kumuunga mkono mwizi wa kura aliyelazimisha muhula wa tatu Kama Nkurunzinza na kudababisha vifo vya raia wssiokua na hatia.
Umemuona kwenye picha alivyo panic. Mdogo Kama piriton.
M7 atie maji
 
Safi sana,kwanini haitokei bongo?Ili tuwafilisi maraisi wastaafu,harafu anayekwiba mali ya umma,ni Kifungo Cha maisha au kifo
 
Mnamkumbuka Ceaucescu wa Romania?
Aliwafanya wananchi anavyotaka lkn siku moja tu waliposema enough is enough walipomzomea na kumpinga hadharani mbele ya macho yake ukawa mwisho wake.
I rest my case.......
 
Jaribio la mapinduzi linaendelea nchini Guinea, mpaka muda huu vikosi maalum vilivyoasi tayari viko ndani ya Ikulu ya Rais na vimeondoka na raisi wa nchi hiyo kuelekea naye pasipo fahamika
I salute Mamady Maisha ya watu ni Muhimu kuliko siasa Hekoo Fanya kazi Broo Bravooooooooo daa dekiiiii.
 
Mnamkumbuka Ceaucescu wa Romania?
Aliwafanya wananchi anavyotaka lkn siku moja tu waliposema enough is enough walipomzomea na kumpinga hadharani mbele ya macho yake ukawa mwisho wake.
I rest my case.......
Romania sio Bongo hapa wamekufa kiakili na kifikraa waromania walijitambua yule mwendazake alikuwa tayari ana fikra hizo za Ceaucescu lkn Mungu Mkubwa hapa unaweza kufanya unavotaka lkn binadamu akisema NO ndio NOT .Kenyata alimwambia mchonga meno mm nimetawala vipofu lkn ww umetawala maiti.
 
Hili dude likipita kule nanilii yatokee mabadiliko ya wateule wote kuanzia ngazi ya Taifa hadi kijiji, hakika wananchi pia watashangilia
 
Picha ya video ikimuonyesha rais huyo akiwa kakaa na vikosi hivyo vya waasi vikipiga naye picha kabla ya kuondoka naye
Siyo vikosi vya waasi, ni jeshi la serikali
 
Huko West Africa Bado majeshi yao yanajielewa na inapotokea watawala wakacross line majeshi huingilia na recently tumeona Mali. Na ukimsikilza huyo kiongozi wa mapinduzi anacite bad governance ndo imepelekea wao kuchukua power.
Kesha maliza muda wake madarakani akabadili katiba ili aendelee , akamtumia Job wao bunge likapitisha , wakajiongezea marupurupu yeye na wabunge , sasa anaonja joto ya jiwe
 

aliemuelewa ebu anieleweshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…