wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Unabishana na bodaboda wana mihemko hawafatilii siasa za West Africa na mapinduzi. Hiyo Guinea tangu iwe huru mwaka 1958 mpaka leo huyo rais Conde ndiye wa kwanza kuchaguliwa na wananchi, ingawa na yeye alivunja katiba last year. Kama yangekuwa maendeleo wangeshapata maana miaka zaidi ya 60 wanaongozwa na jeshi na wana madini kibao huku ni watu milioni 12 tu, ila ni nchi maskini kama mbwa. Kati ya wale wahuni walioonekana hakuna kiongozi pale, miezi mitatu mingi tutaurudia huu uzi na kuwashangaa wanaosifia sahivi
Acha nao wajaribu kuongoza nchi,hata wakifeli shega tu.Kwani nchi iliandikwa wakina Conde tu ndio wenye hatimiliki ya kuongoza nchi?Tena wangempiga na pumbuh kabisa.