Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Unabishana na bodaboda wana mihemko hawafatilii siasa za West Africa na mapinduzi. Hiyo Guinea tangu iwe huru mwaka 1958 mpaka leo huyo rais Conde ndiye wa kwanza kuchaguliwa na wananchi, ingawa na yeye alivunja katiba last year. Kama yangekuwa maendeleo wangeshapata maana miaka zaidi ya 60 wanaongozwa na jeshi na wana madini kibao huku ni watu milioni 12 tu, ila ni nchi maskini kama mbwa. Kati ya wale wahuni walioonekana hakuna kiongozi pale, miezi mitatu mingi tutaurudia huu uzi na kuwashangaa wanaosifia sahivi

Acha nao wajaribu kuongoza nchi,hata wakifeli shega tu.Kwani nchi iliandikwa wakina Conde tu ndio wenye hatimiliki ya kuongoza nchi?Tena wangempiga na pumbuh kabisa.
 
ccm wako smart ndio maana ni moja ya vyama bora sana duniani[emoji1][emoji1]

we ushasikia wapi mtu kamaliza miaka kumi ccm anakomaa na funguo za ikulu!!!

wapinzani kule ndio wana style hiyo ya kukomalia ofisi.
Hakuna u smart wowote chief,angalia ubunge ni uongozi usiokua na kikomo.
 
Jumuiya ya kimataifa itapinga.......
Jumuiya ya kimataifa haiwezi kumuunga mkono mwizi wa kura aliyelazimisha muhula wa tatu Kama Nkurunzinza na kudababisha vifo vya raia wssiokua na hatia.
Umemuona kwenye picha alivyo panic. Mdogo Kama piriton.
M7 atie maji
 
Safi sana,kwanini haitokei bongo?Ili tuwafilisi maraisi wastaafu,harafu anayekwiba mali ya umma,ni Kifungo Cha maisha au kifo
 
Mnamkumbuka Ceaucescu wa Romania?
Aliwafanya wananchi anavyotaka lkn siku moja tu waliposema enough is enough walipomzomea na kumpinga hadharani mbele ya macho yake ukawa mwisho wake.
I rest my case.......
 
Jaribio la mapinduzi linaendelea nchini Guinea, mpaka muda huu vikosi maalum vilivyoasi tayari viko ndani ya Ikulu ya Rais na vimeondoka na raisi wa nchi hiyo kuelekea naye pasipo fahamika
I salute Mamady Maisha ya watu ni Muhimu kuliko siasa Hekoo Fanya kazi Broo Bravooooooooo daa dekiiiii.
 
Mnamkumbuka Ceaucescu wa Romania?
Aliwafanya wananchi anavyotaka lkn siku moja tu waliposema enough is enough walipomzomea na kumpinga hadharani mbele ya macho yake ukawa mwisho wake.
I rest my case.......
Romania sio Bongo hapa wamekufa kiakili na kifikraa waromania walijitambua yule mwendazake alikuwa tayari ana fikra hizo za Ceaucescu lkn Mungu Mkubwa hapa unaweza kufanya unavotaka lkn binadamu akisema NO ndio NOT .Kenyata alimwambia mchonga meno mm nimetawala vipofu lkn ww umetawala maiti.
 
Hili dude likipita kule nanilii yatokee mabadiliko ya wateule wote kuanzia ngazi ya Taifa hadi kijiji, hakika wananchi pia watashangilia
 
Huko West Africa Bado majeshi yao yanajielewa na inapotokea watawala wakacross line majeshi huingilia na recently tumeona Mali. Na ukimsikilza huyo kiongozi wa mapinduzi anacite bad governance ndo imepelekea wao kuchukua power.
Kesha maliza muda wake madarakani akabadili katiba ili aendelee , akamtumia Job wao bunge likapitisha , wakajiongezea marupurupu yeye na wabunge , sasa anaonja joto ya jiwe
 
Kwa sababu alikuwa mzalendo sana mchapakazi sana:

Jeshi Lafanya Mapinduzi Nchini Guinea Baada Ya Rais Alpha Conde Kuvunja Katiba Ya Nchi.

miradi hii ya kimkakati isingekamilika bila yeye.

Kwa sababu alikuwa akifanya kazi kubwa sana za kujenga mahospitali, mashule, mabarabara na vya namna hiyo alistahili malipo zaidi (bila shaka na kutolipa kodi juu yeye na vigogo wenziwe).

Mheshimiwa Rais katoa 100m kuweka shade machinga complex. Huwa wametoa kama zao mfukoni.

Kujisahau huku, yetu macho.

aliemuelewa ebu anieleweshe
 
Back
Top Bottom