Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi


Mzizi wa fitina uko hapa:

"Wananchi katika mji mkuu wa nchi hiyo Conakry wameonekana wakishangilia mapinduzi hayo wakati wanajeshi walipokuwa wakipita barabarani."

Huwa hawajifunzi kutambua demokrasia ni kutawala kwa kuwajibika kwa watu.

Wanasherehekea vipi basi?
 

Kuna ndugu yenu huku msijifanye hamumuoni:

Naipendatz stakehigh
 
naona west Africa wameanza ile michezo yao ya zamani ya kupinduana sasa....huyu Alpha Cone acha tu wamteke ameyataka mwenyewe....

kuna watu wanashabikia huu ujinga wanafikiri hayo yanayofanyika ni matakwa ya hao watendaji....kuna kitu kinaitwa French Africa... mfaransa anaendelea na tabia zake za hovyo...hayo ni makoloni ya ufaransa na hizo ni tawala zake huwa ni suala la muda akishakuchoka anaplant wengine anaendeleza ukoloni... WaAfrica tuwe na akili sasa..
 
ccm wako smart ndio maana ni moja ya vyama bora sana duniani[emoji1][emoji1]

we ushasikia wapi mtu kamaliza miaka kumi ccm anakomaa na funguo za ikulu!!!

wapinzani kule ndio wana style hiyo ya kukomalia ofisi.
Mbowe wa 20 Sasa ..
 
Maraisi wana shughuli kabla 2021haijaisha yule waafaghanstan walimfurusha akatoka mbio na ndala .Huyu waleo naona yuko pekupeku na vesti kazi ipo.
 
Aiseee Luten General Mamady ni pande la mtu dadeq,Duuu aiseee majitu Kama Yale yanafaa yawe nchi Kama Tozonia itapendeza sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…