Nimezaliwa hapa hii ni nchi yangu lakini ccm mnachokifanya Kita backfire tu siku moja magu wenu aliokolewa na kifo mama alianza vizuri mmechafulia rekodi yake Ila tutafika tu huku muda c mrefu mna inequality za kijinga Sanakama panakuboa we tafauti kibanda kingine chenye serikali unayoitaka
Mkuu katika watu 5 kuna mgawanyo wa 3kwa2 au 2kwa3 hapo ndipo kuna wanao sherehekea na wasio shereheka!.
Habari Za Hivi Punde,
Kinacho endelea nchini Guinea Conakry, jeshi limefanya mapinduzi baada ya Rais Alpha Conde kuvunja Katiba Ya Nchi ili imruhusu kugombe kwa mhula 3 na bunge kumuongezea mshahara...
Tulipofikia ni swala la muda tu hatua za mwanzo ndio Kama zile za kushangilia viongozi wa kitaifa wakifa hebu niambie Leo hii siro afe hiyo furaha yake itakuwa balaa Sana mtaani.Matumizi mabaya ya madaraka,ulevi wa madaraka na udikteta ni gonjwa sugu kwa viongozi wengi wa kiafrika. Mfano uhuni uliofanyika juzi kule Musoma wa RC kutumia hadi JWTZ kwenda kuvuruga kijinai maandalizi ya kongamano la Katiba ni mfano hai wa matuzi mabaya ya madaraka...
tanzania ni nchi ya amani na utulivu, izo njama zenu za kuvuruga nchi hamtakaa muache kupokea kichapo
Mpera Mpera wa oneman JPM miaka 5 tu lakini wengine wanauguza majeraha Ubelgiji, wengine kutoka ubunge hadi yeye na familia yake yote kuendesha Uber Canada!! Mtauweza Mpera Mpera wa akina Mobeyo nyinyi watoto wa Mama?
Mse*ge anatisha, pande la mtu halafu jeusi tiiiiiiiiiiii kama mpingo. Dadadaki.Mataga hii ilotokea guinea,
inawauma utadhan mmeza wembe[emoji23].
Uyu mwamba inabid apewe ziara uku bongo[emoji116]View attachment 1925603
Mpera Mpera wa oneman JPM miaka 5 tu lakini wengine wanauguza majeraha Ubelgiji, wengine kutoka ubunge hadi yeye na familia yake yote kuendesha Uber Canada!! Mtauweza Mpera Mpera wa akina Mobeyo nyinyi watoto wa Mama?
Hiyo kitu haipo, hapo ni lazima maslahi yao yaliguswa, wao kama wao, siyo wananchi!1 Watachofanya ni kuhakikisha kibaraka/jamaa yao anaingia ikulu ili wale mema ya nchi! Hawajawahi kuwa na nia njema hao wahuni!! Wakiendeleza ujinga ECOWAS inawatoa mchana kweupeMajeshi hayatakiwi kuongoza nchi. Shughuli yake kama taliban but wanasaidia kuwanyogoa madikteta. Wanapaswa kuitisha uchaguz haraka kama kwel wanaipemda Guinea yao.
Hakuna aliyepogwaAisee nataman sn itokee bongo,
Ndugai na bunge lake wapigwe wachakae Kama uyo prezdaa kwny picha.
Hiyo kitu haipo, hapo ni lazima maslahi yao yaliguswa, wao kama wao, siyo wananchi!1 Watachofanya ni kuhakikisha kibaraka/jamaa yao anaingia ikulu ili wale mema ya nchi! Hawajawahi kuwa na nia njema hao wahuni!! Wakiendeleza ujinga ECOWAS inawatoa mchana kweupe
Lala Mkuu, upumzike! Mimi huku nilipo kumeshakucha tayari! Nachapa kazi huku nikichungulia chungulia humu nione Mother anavyowachapa bakora za kiuno! Au joto na mbu wa hapo Ufipa hapalaliki?Huyo mwenye huo mpera mpera wa kupeleka watu Canada na ubelgiji kwani mwenyewe yuko wapi?
View attachment 1925616
Au ndiye huyo anayeioma hapo?
Hicho kibabu cha bungeni dodoma kama nakiona kikipigwa mbata ya kwenye kipara kolabo na makonzi kama 6 hivi mixa na mabanzi heavy duty yale ya haraka haraka na hilo pande la mtu. Halafu kifuatiwe kupigwa na bonge la mtama mamamaqe.Aisee nataman sn itokee bongo,
Ndugai na bunge lake wapigwe wachakae Kama uyo prezdaa kwny picha.
Baada ya miezi 3 nitakukumbusha hii post yakoHabari mbaya sana hii kwenu.
Wewe nani kuwasemea wananchi wa guinea?
"jeshi limefanya mapinduzi baada ya Rais Alpha Conde kuvunja Katiba Ya Nchi ili imruhusu kugombea kwa mhula 3 na bunge kumuongezea mshahara."
Wanajeshi Guinea ni wazalendo kweri kweri. Nchi zinaendeshwa kwa kufuata katiba!
Ya yule wa march 17 tangu uchaguzi kuisha yaliachwa mpaka umauti ulipomkuta bonyeza kuweza kutizama videoJamaa alishaanza kusambaza mabango ya kugombea mhula wa tatu
Akidai anakubalika na wananchiView attachment 1925602
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kile kijamaa kinaboa mno, Basi TUHicho kibabu cha bungeni dodoma kama nakiona kikipigwa mbata ya kwenye kipara kolabo na makonzi kama 6 hivi mixa na mabanzi heavy duty yale ya haraka haraka na hilo pande la mtu. Halafu kifuatiwe kupigwa na bonge la mtama mamamaqe.
Yani nakichukia kuliko hata Covid.
Lala Mkuu, upumzike! Mimi huku nilipo kumeshakucha tayari! Nachapa kazi huku nikichungulia chungulia humu nione Mother anavyowachapa bakora za kiuno! Au joto na mbu wa hapo Ufipa hapalaliki? Ndio muone umuhimu wa kujenga jengo la kisasa kipindi kile mnapata mamilioni, nyie hela yote mkamwachia Mwamba, na mnavyomuogopa hata kumuuliza matumizi hamthubutu!! Ungekuwa unakoroma muda huu Brother J
Baada ya miezi 3 nitakukumbusha hii post yako