Tetesi: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

Tetesi: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

Huyo ndio ana akili na wewe ndio unaonekana huna akili kwa sababu ametoa point muhimu sana kuhusiana na kinachotokea kwenye vita vya Israel na magaidi wa Hamas.

Magaidi wa Hamas hawanaga sare na wanajificha miongoni mwa wanawake na watoto sasa ulitaka Israel wafanye nini wawauwe wapalestina wote..!!

Tena kinachosaidia ni kwamba jeshi la Israel ni "highly professional" kiasi kwamba isingekuwa hivyo sasa hivi kusingekuwa na mpalestina hata moja anayeishi.
Hawa hawa israel ambao wamepigana na mgambo hadi sasa wameishiwa wanajeshi?
 
Kuwa kiongozi wa nchi inahitaji busara ya hali ya juu. Kwa nini uiingize nchi yako vitani kwa sababu ya mtu mmoja tena nchi nyingine?
 
Urging = Kuhimiza
Imploring = Kusihi

Rais wa Iran hawezi kumuonya Ayatollah. Kama vile ambavyo mtoto wa Kiswahili, kiutamaduni, hawezi kumuonya baba yake, baba ndiye anayemuonya mtoto.

Mtoto anaweza kumuomba, kumsihi, kumtafadhalisha baba yake.

Kuonya kuna connotation ya authority, mwenye authority kubwa, au angalau sawa, ndiye anayeonya.

Iran Ayatollah yuko juu ya rais, hivyo rais hawezi kumuonya Ayatollah.

Kuonya = Warning.

Urge = kuhimiza, kuomba

Implore = kuomba, kusihi, kurairai
 
Mavazi ya heshima ndio mavazi gani hijab au nikab. Angalia roho ya mtu sio mavazi na kwa nini ni mwanamke tu je mwanaume yeye huyo mungu wenu amesema wavaeje..!!🤣🤣
Kweli kabisa angalau hapa tunanza kukubaliana kumbe kitu muhimu roho safi sana. Kwahio wewe unaye furahia genocide kule Gaza tukuweka group la motoni au peponi.

Lakini mavazi pia yanaepusha shetani asikufatilie, we huoni wanawake wakislam wanaficha maumbo yao, na wanaume wakislamu huwezi kuwakuta kama kina Mike na John na vichupi au vikaptura wanatembea barabarani. Wanaume wakislam Tabaraka Rahman Kanzu au Surual za heshima. sema basi Mungu awazidishie kila lenye kheri amiini.
 
Ndugu zako wayahudi wanafanya usafi kwenye mahandaki huko wanajua kichapo heavy kinakuja we unabwabwaja jf
 
Kweli kabisa angalau hapa tunanza kukubaliana kumbe kitu muhimu roho safi sana. Kwahio wewe unaye furahia genocide kule Gaza tukuweka group la motoni au peponi.

Lakini mavazi pia yanaepusha shetani asikufatilie, we huoni wanawake wakislam wanaficha maumbo yao, na wanaume wakislamu huwezi kuwakuta kama kina Mike na John na vichupi au vikaptura wanatembea barabarani. Wanaume wakislam Tabaraka Rahman Kanzu au Surual za heshima. sema basi Mungu awazidishie kila lenye kheri amiini.
Hizo ni tamaduni za waarabu huko sisi hayatuhusu na binadamu yeyote mwenye akili timamu hawezi kutembea uchi wa kutembea uchi lazima atakua ni kichaa tu na kama uchi kwa tafsiri ya kiarabu basi sisi ni waafrika na sio waarabu.
 
Rais wa Iran hawezi kumuonya Ayatollah. Kama vile ambavyo mtoto wa Kiswahili, kiutamaduni, hawezi kumuonya baba yake, baba ndiye anayemuonya mtoto.

Mtoto anaweza kumuomba, kumsihi, kumtafadhalisha baba yake.

Kuonya kuna connotation ya authority, mwenye authority kubwa, au angalau sawa, ndiye anayeonya.

Iran Ayatollah yuko juu ya rais, hivyo rais hawezi kumuonya Ayatollah.

Kuonya = Warning.

Urge = kuhimiza, kuomba

Implore = kuomba, kusihi, kurairai
Unarudia kilekile nilicho kisema sasa sijui una maana gani..⁉️⁉️
 
Unarudia kilekile nilicho kisema sasa sijui una maana gani..⁉️⁉️
Na wewe ulirudia kilekile nilichokisema. Sikukuelewa una maana gani. Kama kurudia hakuna maana, basi your post was unnecessary kwa sababu ulichokiandika nilishakiandika tayari.

Hujaona kuwa wewe umeandika tu, mimi nimeweka sources kabisa?

Huthamini umuhimu wa sources?
 
Hizo ni tamaduni za waarabu huko sisi hayatuhusu na binadamu yeyote mwenye akili timamu hawezi kutembea uchi wa kutembea uchi lazima atakua ni kichaa tu na kama uchi kwa tafsiri ya kiarabu basi sisi ni waafrika na sio waarabu.
We ulie ogotwa na wazungu Kenya ukaishia kuwa house boy, huo si utamaduni wa kiarabu kama unavyo jidangan'ya ni mafunzo ya dini. We hata dini yako haujui. Si ndio kila kukicha na kuwambia bibilia hujaifahamu bado, ungeifahamu ungeisha kuwa Muislam.

Exodus 28:42

42 Make linen shorts for them, reaching from the waist to the thighs, so that they will not expose themselves.
 
Mimi nikimuona mwanamke kajistori ndio naanza kumuwakia tamaa nikiwa na uhakika wamo🥰
Ilaha akitembea amevaa kama yupo nusu uchi hama yangu Kwake inakufa Kabisa Kanisa nikiwa na hakika anajiuza I'ma changu doa!
NDIPO NIMEHITIMISHA KWAMBA MAFUNDISHO YA WAISLAMU NI DHAIFU SANA!!
Sisi Wakristo Tumefundishwa Ili kufisha tamaa Tumvae Kristo!
👂👂
Romans 13:13-14
[13]Kama ilivyohusika na mchana na tuenende kwa adabu; si kwa ulafi na ulevi, si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu.

[14]Bali mvaeni Bwana Yesu Kristo, wala msiuangalie mwili, hata kuwasha tamaa zake.
 
We ulie ogotwa na wazungu Kenya ukaishia kuwa house boy, huo si utamaduni wa kiarabu kama unavyo jidangan'ya ni mafunzo ya dini. We hata dini yako haujui. Si ndio kila kukicha na kuwambia bibilia hujaifahamu bado, ungeifahamu ungeisha kuwa Muislam.

Exodus 28:42

42 Make linen shorts for them, reaching from the waist to the thighs, so that they will not expose themselves.
Small mind: mimi kuwa muislam ndio itakufanya wewe uingie mbinguni au itakufanya wewe leo umzidi Bakhressa pesa. Si unaona ni akili ndio hamna kushangilia mtu anaposlimu wakati wewe unabaki kula kisamvu chako na ugali na labda hata hiyo mbingu usiione.

Unaongelea Dress Code waliopewa wana wa Israel enzi hizo, sasa hiyo sisi inatuhusu nini huku Afrika. Bure kabisa.
 
Hahaha hicho kitabu leo unasema hakikuhusu, we si unakitukuza, Wapi hio Exodus 28:42 iliongelea Wayahudi? Hicho ni kitabu cha Mussa hata kama mmekivuruga sehemu zingine bado kuna maneno ya Mungu yanapatikana, na wewe unakiamini au uwongo. Nionyeshe wapi kimeongelea dress code za Wayahudi hapo? Kwa hio mmejuwa hao ni Mitume wa kiyahudi sasa, mbona Yesu mnasema ni wa kwenu wakati katumwa kwa Wayahudi tu 😄

Nionyeshe wapi imeongelea dress code za Wayahudi.

42 Make linen shorts for them, reaching from the waist to the thighs, so that they will not expose themselves.
 
Sasa unajifanya mtabiri kujuwa nnachotamani mimi?

Uislam maana yake mojawapo ni amani. Lakini haimaanishi unapopigwa la kulia ugeuze na la kushoto.

Hii habari ni muflis kabisa.
Kwa hiyo kati ya hao viongozi wa Iran, mmoja ni Muislam na mwingine Goah? Au Mhindu?
 
Matusi tumejifunza kwenu kila kukicha wamzulie Mtume Muhammad uwongo na Uislam uwongo. Sawa we amini bibilia yako lakini hio hio bibilia yako inakubaliana na hadithi ya Mtume Muhammad aliyo sema Waisrael watajificha kila mahali lakini watasemwa yule Muisrael kajificha 😄

Hivi huwa mnazipekua bibilia zenu kweli au mnaishia kuimba nyimbo tu pale kanisani, afu mkitoka pale mnaenda kugawa uhondo, Nakumbuka nilikuwa kule Lancashire siku ya Christmas na order Donna kabab, vilikuja vibint vya kizungu vinanibembeleza nivichukue nyumbani kwangu. Eti vimeachwa na train 😄 Nikavitania mnataka kunywa coffee vikarukia ndio. Nikakumbuka ile story ya rafiki yangu aliniambia siku za Christmas wanawake wa kikristo lazima wagawe UHONDO eti ni dhambi kumnyima mwanaume hahaha. Kweli dini yenu inanuka zina tupu.
Wacheni zina kwanza na mvae mavazi ya heshima, ndio mnaweza kuwa tofouti na wanyama, ndio mana hata bibilia hamzielewi bado.

Chukua chuma hicho kama unaweza kukimeza kimeze tu, usiseme kimekuzidia.

Amos 9
Israel Will Be Destroyed

1I saw the Lord standing next to the altar in the temple. He said to me,

“Strike the tops of the temple pillars.

Then the heavy stones at the base of the entrance will shake.

Bring everything down on the heads of everyone there.

I will kill with my swords

those who are left alive.

None of the Israelites will escape.

None will get away.

2They might dig down deep.

But my powerful hand will take them out of there.

They might climb up to the heavens.

But I will bring them down from there.

3They might hide on top of Mount Carmel.

But I will hunt them down

and grab them.

They might hide from me at the bottom of the ocean.

But even there I will command the serpent to bite them.

4Their enemies might take them away

as prisoners to another country.

But there I will command Israel’s enemies

to cut them down with swords.

I will keep my eye on Israel to harm them.

I will not help them.”
Hakuna mtu anayemzulia Bwana fulani uongo.Hayo matukio ya kwenye bible unayoyasema yanashabihiana na kitabu cha bwana fulani ni kwamba bwana fulani alisimuliwa na Waraqa bin Nauf na mdiye aliyempa utume akisaidiana na bi.Hadija ambaye alikuwa mtawa Mkatoliki on a special mission.
Mbona unakuwa mgumu kuamini?
Jipe muda usome habari nje ya dini yako uone ukweli.Kuna kushabihiana kukubwa sana kwenye ukatoliki na huko kwenu.
Unajua hata kabla ya mtume wako wakatoliki wanaswali sala tano?
Umefika kwenye convent zao ukjionea kuwa muda wanaoswali ni exactly sawa na wa kwenu?
Umiza kichwa upate ukweli.
Unajua kuwa wakatoliki wamefanya pilgrimage hata kabla Muhammad hajazaliwa?Kwarezima imekuwako hata kabla ya Muhammad?
Una habari kuwa kabla ya ibada hapo zamani wakatoliki walioga mwili mzima kabla ya kuingia kanisani na sasa wameweka vibakuli vya maji milangoni watu kujitakasa kabla ya sala?
Matumizi ya ubani je?Kibalagashia kwa maaskofu je?
Hujawahi kujiuliza?Unajua tasbihi ilikuwepo kabla ya Muhammad?
Why binti wa Muhammad anaitwa Fatima?Why baadhi ya sikukuu zinaendana na mwandamo wa mwezi?Why mamake Yesu katajwa mara nyingi kwenye kitabu chenu zaidi ya kwenye biblia?
Umiza kichwa mzee!
 
Hizo ni ngojera mnazimba sana, sa unacho ongea kipi kipya hapo? Qur'an haikusema hata siku moja inakasoro na Scripture zilizo kuja kabla ya Qur'an infact inazikubali Taurati ya Nabii Mussa, Injili ya Nabii Musa na pia Zaburi ya Nabii Daudi mbona kama unajigonga gonga mwenyewe hapo 😄

Qur'an inasema hatutofautishi katika Mitume wote wa Mungu walio tumwa na Mungu, hivi huyo aliye lala chini ya mti akamuona shetani, huyo Paulo mtume wenu, katumwa na Mungu 😄 Huna jibu 💯 na hutaweza kutupa dalili katumwa na Mungu.

Qur'an 2.136
Say, ˹O believers,˺ “We believe in Allah and what has been revealed to us; and what was revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob, and his descendants; and what was given to Moses, Jesus, and other prophets from their Lord. We make no distinction between any of them. And to Allah we all submit.”
 
Breaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo

Wadau Hamjamboni nyote?

Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani Rais amemuonya Kiongozi wake Mkuu kuwa shambulizi dhidi ya Israel laweza leta anguko kubwa la uchumi wa nchi hiyo na hivyo kupelekea kusambaratika kwa Dola hilo

Taarifa kamili hapo chini:
---

Report: Iran’s president Pezeshkian urges Khamenei to avoid attack on Israel

Iranian President Masoud Pezeshkian has implored the country’s supreme leader to avoid a direct attack on Israel, warning an escalation could lead Israel to devastate infrastructure and energy targets and cripple the economy, according to a report in Iran International.

The report, which cited anonymous sources with knowledge of the matter and which could not be independently confirmed, said Pezeshkian told Ali Khamenei that a war could deepen citizens’ discontent with the regime and even bring about Iran’s collapse.

The report says Khamenei was noncommittal at the meeting.
Inaonekana huyu rais ni mtu mwenye msimamo wa wastani. Angalau mambo yatatulia.

Ayatollah anajifanya kutunisha misuli ipo siku Israel itakula kichwa, nchi yenyewe watu wanapiga watakavyo
 
Hahaha hicho kitabu leo unasema hakikuhusu, we si unakitukuza, Wapi hio Exodus 28:42 iliongelea Wayahudi? Hicho ni kitabu cha Mussa hata kama mmekivuruga sehemu zingine bado kuna maneno ya Mungu yanapatikana, na wewe unakiamini au uwongo. Nionyeshe wapi kimeongelea dress code za Wayahudi hapo? Kwa hio mmejuwa hao ni Mitume wa kiyahudi sasa, mbona Yesu mnasema ni wa kwenu wakati katumwa kwa Wayahudi tu 😄

Nionyeshe wapi imeongelea dress code za Wayahudi.

42 Make linen shorts for them, reaching from the waist to the thighs, so that they will not expose themselves.
Hayo ya Musa hayatuhusu bwana, sisi ni watu wa mataifa sio waisraeli. Kwa hiyo Musa alikuwa anaongoza waluguru au wasukuma.
 
Hizi stori mlizileta hadi kipindi kile Israel imeshambulia Ubalozi wa Iran, na walifanya direct attack kwenda Israel leo ishindikane.
Nyie subirini kichaka chenu pendwa cha off-target.
Hongera yao hiyo direct attack imewang'oa akina Netanyahu madarakani!
 
Hahaha hicho kitabu leo unasema hakikuhusu, we si unakitukuza, Wapi hio Exodus 28:42 iliongelea Wayahudi? Hicho ni kitabu cha Mussa hata kama mmekivuruga sehemu zingine bado kuna maneno ya Mungu yanapatikana, na wewe unakiamini au uwongo. Nionyeshe wapi kimeongelea dress code za Wayahudi hapo? Kwa hio mmejuwa hao ni Mitume wa kiyahudi sasa, mbona Yesu mnasema ni wa kwenu wakati katumwa kwa Wayahudi tu 😄

Nionyeshe wapi imeongelea dress code za Wayahudi.

42 Make linen shorts for them, reaching from the waist to the thighs, so that they will not expose themselves.
Na inaonekana hujui maana ya neno "Exodus."
 
Back
Top Bottom