Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

Kuna mwingine huku anakwambia BAAB AL MANDIB ZINAPITA meli zijazo AFRIKA MASHARIKI.
 
Wanazuiwa kutengeneza Nuclear Weapons kwasababu watawapa Houthi na Hezbolah halafu Jihaad ya Mashia walijivika Mabomu ya Atomiki wataingia Kenya na Tanzania hala Kasheshe lake sijui litakuwaje?
Hao wazungu ndio maneno yao haya
Usiamini sana hao ila ni kasumba wakati mwingine ni kama mpira tu
Hata Saddam walisema ana Silaha hizo ila ilikuwa ni uzushi tu ili waibe mafuta na artifact zao

Unajua Bush na Saddam walikuwa wanashona viatu kwenye kiwanda kimoja huko Italy?
Wasipoelewana tu na uhasidi unaanza
Iran kuna scientist katengeneza gari linalotumia maji yes Dasani 😄 ndio maana wanawapiga vita sana jamaa waajemi wana akili sana
Ushabiki tuache pembeni tuongee fact
Iran anaogopwa na Israel.zaidi ya mmarekani
Na mkuu wa majeshi wa Israel atajiuzuru soon
 
Ayatollah, hili neno limenikumbusha riwaya ya satanic verse iliyowai kutikisa jmhuri ya iran hadi huyo mwandishi akawa mafichoni hadi leo.
 
Linganisha na tukio la Leo kisha ulete majibu
Bado unaropoka hauongei.
Una uthibitisho kama Israel inahusika!?
Na kama Mossad wapo mpaka ndani ya cabinet ya Iran kwanini hawakujua operation za Iran dhidi ya Israel kupitia Syria na Lebanon!?
 
Hawa Wairan nashangaa imekuaje wanamsafirisha Rais kwa helicopter wakati hali ya hewa ni mbaya na wala haijashtukiza.

Ina maana hawajui kusoma hali ya hewa? Hawajui jiografia korofi ya eneo lile?
Hawana MEDEVAC hata ya VIP?
Helicopter ya mkuu wa nchi hata kuwa tracked hawawezi wanaleta visingizio eti kuna matope, miti na ukungu.

Alafu kwanini watumie Mil Mi-17 helicopter ya kizee vile haijalishi ni modernized kiasi gani imeishafikia limit. VIP transport ina helicopter zake za kisasa, hata sisi bongo tunazo Airbus kama mbili tu huwa mara nyingi zinaenda Airwing, Banana. Iran pale Mi-17 ilibidi waachiwe troops wa kawaida.
 
Akili ipi Raisi anapopolewa kama popo?
 
PARIS — The European Commission is activating a satellite mapping service to aid search efforts after Iranian President Ebrahim Raisi’s helicopter crashed, following a request for assistance from Iran, the European commissioner for crisis management announces.

The European Commission’s Copernicus Emergency Management Service provides mapping products based on satellite imagery.

Crisis management commissioner Janez Lenarcic says on X that the service was activating its “rapid response mapping service in view of the helicopter accident
 
Ujinga wa mwisho ulikua wp alipoumwa jpm ulambiwa taarifa zote za usalama wa rais juu ya kuumwa kwake sio kila jambo linawekwa wazi linapofika swala la viongozi wa nchi hususan swala la ugonjwa au ajali
 
Mbwa sio haramu bali baadhi ya sehemu zake ni najisi hasa mdomoni hivyo unatakiwa kuwa makini nazo .
Samaleko,lakini mbona haya ya kuwa mbwa kuna sehemu zake ni najisi ila sio mbwa mzima ndio nasikia kwako, ina maana hao mbwa wanaoenda kumtafuta mheshimiwa hawana midomo au
 
Kikosi cha 65 cha Kikosi Maalum cha Kikosi cha Ndege cha Iran, kilichofunzwa katika vita vya msituni, kimetumwa karibu na eneo la ajali ya chopper.
PARIS — The European Commission is activating a satellite mapping service to aid search efforts after Iranian President Ebrahim Raisi’s helicopter crashed, following a request for assistance from Iran, the European commissioner for crisis management announces.

The European Commission’s Copernicus Emergency Management Service provides mapping products based on satellite imagery.

Crisis management commissioner Janez Lenarcic says on X that the service was activating its “rapid response mapping service in view of the helicopter accident
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…