Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

allah na mudi wamefanya muujiza na rais yupo salama salimin.
 
allah na mudi wamefanya muujiza rais na wenzake hawajapata jeraha wala mchubuko wowote japo media za mabeberu zinaficha hili habari hii nzuri kwa umma, habari hii nzuri ya ukuu wa allah inapatikana kwenye media za kisunna tu.

Ndivyo Roho Mtakatifu wako alivyokutonya?Au ni maneno ya Nabii wako Tito hayo??
 
Nimepokea simu kutoka Iran muda huu Rais anaendelea vizuri amepata injuries lakini kwa ujumla afya yake ni njema kabisa.
 
Nilisahau kuzingatia hilo mkuu. Na ubaya wa helicopter ni kwamba ni ngumu kuunda, kwenye ndege unaweza jaribu kibishi ila kwenye helicopter sio kama matako kwamba kila mtu anayo.

Sasa Wamarekani watasema ambavyo vikwazo vyao vina tija.
Sema vikwazo vya marekani jau sana, venezuela mafuta yake sjui kama atafanikiwa
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=Td_6y0LUDZw
 
Nimepokea simu kutoka Iran muda huu Rais anaendelea vizuri amepata injuries lakini kwa ujumla afya yake ni njema kabisa.
Takbiirrrr allah na mudi wamefanya muujiza rais na wenzake hawajapata jeraha wala mchubuko wowote japo media za mabeberu zinaficha hili habari hii nzuri kwa umma, habari hii nzuri ya ukuu wa allah inapatikana kwenye media za kisunna tu.
 
Toa umbeya hapa
 
Nimepokea simu kutoka Iran muda huu Rais anaendelea vizuri amepata injuries lakini kwa ujumla afya yake ni njema kabisa.

Hamas voices "great concern" over Iranian president's helicopter crash​

From CNN's Abeer Salman

Hamas issued a statement expressing "great concern" after a helicopter carrying Iranian President Ebrahim Raisi and other Iranian officials crashed on Sunday.
Details about the crash are still murky, and Hamas expressed "solidarity" toward the president and the "brotherly Iranian people."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…