Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

Mnhh!! Labda it was a joke aisee!

It's a joke?

Basi ndivyo dunia inavyotuona.... Waafrika we are the joke of the world!

A permanent underclass and the laughing stock of the world.

Viongozi wetu wenyewe ndio hawa! Haoni aibu kutuambia alikuwa anafikia hoteli ya Michael Jackson, WESTIN PALACE MADRID, hajui kwamba hiyo ni skendo maskini ya Mungu....

WESTIN MADRID.PNG
 
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.

The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!

Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....

Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!

Basi kama hukumbuki siku uliyokuwa Rais wetu ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa mengi! Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!

Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael akiwa Madrid ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, inaitwa "the icon of luxury!"

Waziri wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Sijui kampuni gani la Span ulilileta lije kutupiga makinikia..... Msalie mtume!

Waafrika, nani atatuokoa ????

View attachment 2381816

Kila kabila (mtanisamehe) lina jadi yake. Mkwere ni ngoma, jando, unyago and the like! Lianna ni unyago like girls, Michael ni jando... Pwani yote ni hayo tu, haya ya urais ni mambo ya kuiga siyo jadi yao!
 
Shida ni Uislamu, tatizo liko hapo, Uislamu haufundushi earning a leaving through hard work, mfumo unaojenga Dunia ni christian, shida iko hapo, hawajui kufanya kazi kwa bidii kujenga nchi, wanajua raha na kutumia, basi, hawajui kwamba nchi inajengwa kwa jasho na siyo blah blah na starehe.

Kwani kuna Viongozi wengi wametokea Pwani ambao ni Christian na wamekwenda Christian Schools wamepata mafunzo ya Christinianity wako vizuri sana tu, hivyo kutoka Pwani siyo tatizo, tatizo ni malezi na Madrasa!
 
"Ten Cent' nadhani alikuwa anataka kusema "Fifty Cent"
I don't expect you to believe me
Lakini nilipokuwa Marekani nilipishana na Fifty Cent alipokuwa anafanya morning stroling.
Najua ilikuwa ni Fifty Cent kwa sababu two or three days before that nilikuwa nimeitazama sinema ya maisha yake, starring himself--- William Curtis, nadhani anaitwa.
 
Shida ni Uislamu, tatizo liko hapo, Uislamu haufundushi earning a leaving through hard work, mfumo unaojenga Dunia ni christian, shida iko hapo, hawajui kufanya kazi kwa bidii kujenga nchi, wanajua raha na kutumia, basi, hawajui kwamba nchi inajengwa kwa jasho na siyo blah blah na starehe.

Kwani kuna Viongozi wengi wametokea Pwani ambao ni Christian na wamekwenda Christian Schools wamepata mafunzo ya Christinianity wako vizuri sana tu, hivyo kutoka Pwani siyo tatizo, tatizo ni malezi na Madrasa!
Chuki tu zinakusumbueni nyinyi. Hamna lolote.
 
Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa.

The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani!

Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na harusini tunasimamisha kusali, kulia, kula, kuongea, mpaka we ukasaini kitabu ukakae chini, umestaafu unatumia jumba la serikali bure, petroli bure, vocha ya simu bure, mlinzi bure, mpishi, karani, dereva, shamba boy, and so forth and so forth and so forth.... Kijana wako na mke wako tumewapa ubunge na uwaziri si kwa lolote la kiuongozi walilofanya kabla ya hapo bali kwa heshima yako wewe.....

Lakini the greatest day of your life ni kukutana na Rihanna!

Basi kama hukumbuki siku uliyokuwa Rais wetu ungevunga kwa kutaja siku uliyomuoa Salma, manake nae kakufumbia macho kwa mengi! Unampaisha Rihanna and your wife is sitting right next to you!

Halafu huna noma unasema ulikutana na Michael Jackson hotelini Spain ukiwa waziri wa Madini. Hoteli pendwa ya Michael akiwa Madrid ilikuwa ni WESTIN PALACE MADRID, inaitwa "the icon of luxury!"

Waziri na Rais wa nchi ambayo wasafiri tunasimamishwa vichakani "kuchimba dawa" kwa saab hatuna rest areas zenye vyoo njiani, unatumia viji tozo vyetu kukodi hoteli anayofikia Michael Jackson! Jamani! Na sijui kampuni gani la Spain ulilileta lije kutupiga makinikia..... Msalie mtume!

Waafrika, nani atatuokoa ????

View attachment 2381816

Maumivu makubwa ya moyo ndio sifa ya maoni mengi ya watanzania mtandaoni.

JK n mtu chakaramu, sidhani kama anakunywa pombe kama marehemu wote watatu waliokuwa marais wa TZ, starehe nyingine ndio nyumbani kwake.
 
It's a joke?

Basi ndivyo dunia inavyotuona.... Waafrika we are the joke of the world!

A permanent underclass and the laughing stock of the world.

Viongozi wetu wenyewe ndio hawa! Haoni aibu kutuambia alikuwa anafikia hoteli ya Michael Jackson, WESTIN PALACE MADRID, hajui kwamba hiyo ni skendo maskini ya Mungu....

View attachment 2381860
Maisha binafsi yanaruhusiwa kwa kila mtu. That is his very personal side. Umaskini wangu na wako ukiupa uhusiano wa moja kwa moja na maisha ya viongozi wetu utaishia kuumia tu moyoni.
 
Back
Top Bottom