Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

Rais wa Nchi anaitwa Nyapara! CHADEMA ni vyema muwadhibiti hawa vijana wenu akiwemo Mdude

Haka kajinga wangekasaga na kuja kuokotwa kwenye viroba huko..

Ujue hata kwenye biblia kuna wafalme waliagizwa na Mungu kuua watu wasio na maslahi na Nchi..

Ni Afya kupoteza Mtu mmja kama huyo kwa faida ya wengi..

Eti hao ndio viongozi wa chadomo wanataka kuchaguliwa.
Biblia ya huko kwenu
 
Upinzani wenye matokeo ndo unafaa. Mpaka sasa upinzani wa matusi umeprove failure.

Upinzani wenye matokeo dhidi ya vyombo vya dola au upi huo? Maana kwa sasa tunaona upinzani ukidhibitiwa zaidi na vyombo vya dola kuliko ushindani wa kisiasa.
 
Rejea kichwa tajwa hapo juu

Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?

Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu

Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana

View attachment 2329236
Nadhani ni maoni yake binafsi
 
"Nyapara "maana yake kiongozi. Unalalamika nini?
Huyu Mdude amewasaidia sana watu kufahamu maovu yanayotendwa na vyombo vya dola.
Kwa kusema anataka EAC iongozwe na Hustler,that is absurd.
Lakini ni kweli sometimes Chadema wanakuwa wajeuri sana. Kwa mfano Tundu cherahani mmoja aliishona suruali vibaya sana. Napita mtaani watu wananiambia,"Hiyo nguo inaonekana kama ni ya kuazima. Haijakukaa vizuri"
Baadaye nikagundua kwamba yule fundi cherahani ni Chadema na mimi I was regarded as some kind of enemy.
Rejea kichwa tajwa hapo juu

Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?

Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu

Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana

View attachment 2329236
 
Upinzani wenye matokeo dhidi ya vyombo vya dola au upi huo? Maana kwa sasa tunaona upinzani ukidhibitiwa zaidi na vyombo vya dola kuliko ushindani wa kisiasa.
Si kazi ya ccm kuwatengenezea ushawishi kwa majeshi yetu ya ulinzi na usalama. Kwani kiongozi wa cdm alipotoka gerezani akaenda straight ikulu alipelekwa ikulu na polisi? Hakuna vyama vingi vya upinzani TZ kwa sasa. Tunaadaa tu jumuiya za kimataifa kwa maslahi yetu.
 
Kwani CCM inawashawishi vyombo vya dola, ama muundo wa katiba ndio unawapa maamuzi juu ya matumizi ya vyombo vya dola? Kwenda ikulu kwa huyo kiongozi wa cdm kuna mahusiano gani na ushawishi wa vyombo vya dola, au umeeandika tu ili paragraph yako ionekane imejaa hoja?
 
Elewa maana ya ushawishi bila kujali unaletwa na katiba au hela. Ccm inataka kuongoza na ili kuongoza vyombo vya ulinzi lazima viwe upande wao, mengine ni porojo na malalamiko yasiyo na madhara kwa ccm.
 
Rejea kichwa tajwa hapo juu

Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?

Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu

Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana

View attachment 2329236
Kabla ya kuhamaki kwanza ungetufahamisha ni nini maana ya neno NYAPARA?

Tangu nimezaliwa sijawahi kuambiwa au kutahadaharishwa kuwa neno NYAPARA ni tusi

Ni sawa na kuniambia kuwa kumwita Rais wa nchi MSIMAMIZI/KAMANDA au KIONGOZI wa nchi ni kumtukana

Vijana wa CCM Muwe mnajiuliza kwanza kabla ya kuandika ona sasa umepoteza muda kututhibishia kuwa akili vijana wa CCM zimeganda

Nenda kaote moto ziyeyuke ili uweze kufikiria nje ya BOX usikariri mambo kwa chuki
 
Elewa maana ya ushawishi bila kujali unaletwa na katiba au hela. Ccm inataka kuongoza na ili kuongoza vyombo vya ulinzi lazima viwe upande wao, mengine ni porojo na malalamiko yasiyo na madhara kwa ccm.

Unashawishi vyombo vya dola, kwani vyombo vya dola vinaruhusiwa kushiriki mambo ya siasa? Unajua unachoongea boss?
 
Unashawishi vyombo vya dola, kwani vyombo vya dola vinaruhusiwa kushiriki mambo ya siasa? Unajua unachoongea boss?
NDIO, Narudia: Ili ccm itawale inahitajika ushawishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, Sababu ya ushawishi haijalishi ni katiba au pesa kinachotakiwa ushawishi uwepo na raia wawe watulivu na upinzani kama upo hauwezi chukua nchi bila kuwa na ushawishi katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mengine yote ni porojo na hadaa za siasa.
 
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
 
Huyu jamaa hata matatizo aliyopitia enzi za mwendazake ni kujitakia ingawa sikubaliani na mateso aliyopewa.

Huwezi kujenga hoja kwa kutukana viongozi tu kisa mnapishana itikadi za siasa hata kama wanakosea siyo kuwatusi, kwenye familia ni dhambi kumtusi baba yako,au ukiwa baba wa familia kutukana mke hata watoto kwa maneno machafu ni kukosa maadili.
Sasa kwa viongozi wa siasa walio na temper au kutukana system na kuwadhalilisha mbele ya jamii lazima wakupitishe kwenye misukosuko.
 
Huyo huyo dude huwa ana akili sawasawa kweli?? Usikute Hamnazo eti
 
Kama wanaingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi unataka wapewe heshima gani?
Hamtaki kuwa sehemu ya michakato ya kisiasa kwa kuamua kubakia mitandaoni CCM ndio wapo hai katika masuala yote ya kisiasa na wanapigiwa kura na watu wanaojishughulisha na siasa, mmeamua kususia siasa mmebakia kutukana wale wanaozipenda siasa, hakuna wa kuwazuia kufanya mnalopenda.

Hao kina Mdude enzi za JPM walikiona cha moto awamu hii wamepewa uhuru wafungue midomo yao lakini waheshimu mamlaka zilizopo kihalali. Hata kama wanapiga kura na asilimia 40 ya watanzania wote bado hao wanaochaguliwa ni halali kwani wanatokana na mchakato halali wa uchaguzi.

Mdude awe na adabu.
 
Unyampara unakuja kutokana na maamuzi yake, unyonyaji wake kwa wananchi wanyonge, Rushwa imekithiri. Nyampara ni mtu frani ambaye hana huruma hata kidogo, kwa Tozo hizi zinazoendelea sijawahi kumuunga mkono Mdude lakini kwa hili mama ni Nyampara. TOZO TOZO TOZO TOZO BADO TOZO LA BAO.
 
Back
Top Bottom