Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Upinzani wenye matokeo ndo unafaa. Mpaka sasa upinzani wa matusi umeprove failure.Wa kusifia ndio unaofaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upinzani wenye matokeo ndo unafaa. Mpaka sasa upinzani wa matusi umeprove failure.Wa kusifia ndio unaofaa?
Biblia ya huko kwenuHaka kajinga wangekasaga na kuja kuokotwa kwenye viroba huko..
Ujue hata kwenye biblia kuna wafalme waliagizwa na Mungu kuua watu wasio na maslahi na Nchi..
Ni Afya kupoteza Mtu mmja kama huyo kwa faida ya wengi..
Eti hao ndio viongozi wa chadomo wanataka kuchaguliwa.
Mimi na wale tusiokuwa mazuzu!Tuyaweke wewe na nanani?.unaongea utafikiri una ata cha maana nchi hii.
Upinzani wenye matokeo ndo unafaa. Mpaka sasa upinzani wa matusi umeprove failure.
Nadhani ni maoni yake binafsiRejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?
Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana
View attachment 2329236
Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?
Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana
View attachment 2329236
Si kazi ya ccm kuwatengenezea ushawishi kwa majeshi yetu ya ulinzi na usalama. Kwani kiongozi wa cdm alipotoka gerezani akaenda straight ikulu alipelekwa ikulu na polisi? Hakuna vyama vingi vya upinzani TZ kwa sasa. Tunaadaa tu jumuiya za kimataifa kwa maslahi yetu.Upinzani wenye matokeo dhidi ya vyombo vya dola au upi huo? Maana kwa sasa tunaona upinzani ukidhibitiwa zaidi na vyombo vya dola kuliko ushindani wa kisiasa.
Si kazi ya ccm kuwatengenezea ushawishi kwa majeshi yetu ya ulinzi na usalama. Kwani kiongozi wa cdm alipotoka gerezani akaenda straight ikulu alipelekwa ikulu na polisi? Hakuna vyama vingi vya upinzani TZ kwa sasa. Tunaadaa tu jumuiya za kimataifa kwa maslahi yetu.
Elewa maana ya ushawishi bila kujali unaletwa na katiba au hela. Ccm inataka kuongoza na ili kuongoza vyombo vya ulinzi lazima viwe upande wao, mengine ni porojo na malalamiko yasiyo na madhara kwa ccm.Kwani CCM inawashawishi vyombo vya dola, ama muundo wa katiba ndio unawapa maamuzi juu ya matumizi ya vyombo vya dola? Kwenda ikulu kwa huyo kiongozi wa cdm kuna mahusiano gani na ushawishi wa vyombo vya dola, au umeeandika tu ili paragraph yako ionekane imejaa hoja?
Kabla ya kuhamaki kwanza ungetufahamisha ni nini maana ya neno NYAPARA?Rejea kichwa tajwa hapo juu
Mimi binafsi natamani CCM iondoke madarakani. Lakini wakuiondoa ni Akiwemo Mdude?
Chadema jifunzeni. Hawa wajinga wataharibu image yenu mliyoijenga kwa muda mrefu
Mkanyeni huyu. Kuitukana Taasisi ya uRais ni kosa, anaweza kupotezwa vibaya sana
View attachment 2329236
Elewa maana ya ushawishi bila kujali unaletwa na katiba au hela. Ccm inataka kuongoza na ili kuongoza vyombo vya ulinzi lazima viwe upande wao, mengine ni porojo na malalamiko yasiyo na madhara kwa ccm.
NDIO, Narudia: Ili ccm itawale inahitajika ushawishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, Sababu ya ushawishi haijalishi ni katiba au pesa kinachotakiwa ushawishi uwepo na raia wawe watulivu na upinzani kama upo hauwezi chukua nchi bila kuwa na ushawishi katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mengine yote ni porojo na hadaa za siasa.Unashawishi vyombo vya dola, kwani vyombo vya dola vinaruhusiwa kushiriki mambo ya siasa? Unajua unachoongea boss?
NDIO, Narudia: Ili ccm itawale inahitajika ushawishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, Sababu ya ushawishi haijalishi ni katiba au pesa kinachotakiwa ushawishi uwepo na raia wawe watulivu na upinzani kama upo hauwezi chukua nchi bila kuwa na ushawishi katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mengine yote ni porojo na hadaa za siasa.
Huyu ni ww ukikosa hoja. Porojo za exit.Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
Hamtaki kuwa sehemu ya michakato ya kisiasa kwa kuamua kubakia mitandaoni CCM ndio wapo hai katika masuala yote ya kisiasa na wanapigiwa kura na watu wanaojishughulisha na siasa, mmeamua kususia siasa mmebakia kutukana wale wanaozipenda siasa, hakuna wa kuwazuia kufanya mnalopenda.Kama wanaingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi unataka wapewe heshima gani?