Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?


Andika zilizo sahihi wote hatuko DSM wala karibu na benki au hizo bureau du change. Agenda hapa ni raisi kutumia neno "fedha ya Madafu" ni sahihi au sio sahihi?
 
kweli mkuu....
 
Kwa mlioko nje ya nchi...mfano ndani ya marekani us dollar huwa wanaita local currency???na nyingine za nchi nyingine wanaita foreign?

Anyway kwa mtizamo wangu...nijuavyo neno "hela ya madafu" linamaanisha local currency au pesa yetu ya kitanzania....kwangu halina uhusiano na udhalili wa pesa yetu...naamini...hata siku ikifika tshs 1 ikawa sawa na 0.50usd bado tutaendelea kuita hela ya madafu tukimaanisha ya kwetu....
 
Naona JK ameidharau nchi yake, ukiwa kiongozi unahapa kuitetea nchi kwa maslahi yote, kufanya lolote lile nchi iwe sawa.. hata kama mambo hayaendi sawa hafai kuonyesha peupe kuwa nchi inaelekea kudidimia. wananchi wanamtegemea JK kuwa muongozo wao wala si mvunja roho wa wananchi..angekuwa rais wa Kenya tungempendua na serikali yake
 
Ni kweli matamshi ya kiongozi wa nchi yana nguvu sana, ya kujenga au kubomoa. Kiongozi wa nchi anapashwa kupima kwa makini maneno yote anayoyasema na siyo kuzungumza lugha za mitaani. Tangu tupate uhuru tumesikia matamshi mengi ya viongozi ambayo yamekwamisha nchi. Kwa mfano dhana ya umasikini ambayo imerudiwa mara nyingi na viongozi imetukwamisha sana. Tangu unazaliwa hadi unakuwa mtu mzima unasikia matamshi hayo hayo ya umasikini wa nchi. Hatuwezi kupanda juu zaidi ya fikra zetu.
 
jamaa huyu huwa ni matatizo kabisa huwa sipotezi muda wangu kumsikiliza.
 
mlionywa acheni kuchagua wahuni kuingia ikulu mkawa viziwi sasa mtakoma ...vumilieni iingie mpaka mwisho
 
Aondolewe kinga akamatwe na kushtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.
 
Napata shida kuelewa mazungumzo yale ni ya kiongoz wa Nchi. Ndo maana wamezoea kuweka pesa nje ya nchi na kutojali uchumi wetu. How comes unaita madafu? Tena raisi.
 
Mnaoteseka na kauli za JK mlikuwa mnategemea nini? nina uhakika rais alikuwa hajapanga kufukuza Anna T mpaka anaingia Ukumbini. Ila azimio namba 8 ya Bunge na hali ya hewa pale ukumbini ndiyo ilimfukuza mama Anna.
 

dos santos ni namna gani umeonyesha gharama ya wazazi wako kukupeleka shule haikupotea !
Ulichokiongea hapa chatosha kua mwisho wa Thrade.
Presidaa aite aitavyo Tz's currency itabaki kua na same value iliyopo .
Hakuna hoja ya kujadili hapa.
Hivi ukimwambia mwanao "Paka wee" ndiyo kawa Paka ?
 
Last edited by a moderator:
Wewe uoni tufauti? Elimu I kina ndogo ndiyo shida!hela ya madafu inaweza kununua madafu tuu na si vinginevyo
 

Somo la uchumi (monetary economics) linatufundisha kuwa licha ya vigezo vingine kama uwezo wa kuzalisha na kudhibiti soko, thamani ya pesa ya nchi hulidwa na imani ya umma katika pesa husika. Pesa ikipoteza imani/isipoaminiwa na umma thamani yake huporomoka.
 

Economics is not a free discipline neither are its terminologies taken as colloquial. Please don't assume you know economics by using common sense.
 

Nitaongezea hapo kwamba amesema hayo yeye akiwa ni "shameless thief" number one kwenye kadhia hii. Amewatusi watanzania na kutudhihaki tena kwa kukusudia. Ukisikiliza tena hotuba yake utagundua ametudhihaki zaidi ya mara moja - kwa makusudi.


Kenya hawafanyi huu upumbavu. Imefika wakati tuliseme hili wazi-wazi kwani kwa kutokufanya hivyo, wanyonge walo wengi wataendelea kuangamia kwa kasi.
 
Hujui chochote wewe,Just shut up!
 
kinyungu ulitaka afanywe nini? hii ni hela ya madafu na itabaki kuwa ya madafu mbele ya dola. huwezi kutegemea jipya kwa sababu hujajiandaa kisaikolojia kumsikiliza Rais wa nchi. wewe kwako Rais ni FAM au WS sasa akiongea JK hatukushangai ukyasema unayoyasema maana hata wazee wa dar es salaam umewapa jina wazee wa vijiwe vya ccm. Rais hajadharau sarafu ya nchi yake kwani ndilo jina linalotumika mitaani.
 

80% ya Watanzania bado wapo gizani ndiyo maana Watawala wanafanya watakavyo ndugu yangu,Namlaumu Nyerere partly kwa kuhusika kuandaa taifa la wajinga na wasioweza kuhoji.Inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…