Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

Huyo inasemekana kaenda kutibiwa kimya kimya,ana matatizo yake ya moyo.
Tuzidi kumuombea tu
 
  • Mgeni siku ya kwanza, mpe mchele na panza, mtilie kifuani, mkaribishe mgeni,
  • Mgeni siku ya pili, mpe ziwa na samli, mahaba yakizidia, mzidie mgeni,
  • Mgeni siku ya tatu, jumbani hamuna kitu, mna zibaba zitatu, pika ule na mgeni,
  • Mgeni siku ya nne, mpe jembe akalime, akirudi muagane, enda kwao mgeni,
  • Mgeni siku ya tano, mwembamba kama sindano, hauishi musengenyano, asengenyao mgeni,
  • Mgeni siku ya sita, mkila mkajificha, mwingine vipembeni, afichwae yeye mgeni,
  • Mgeni siku ya saba, si mgeni ana baa, hata moto mapaani, hutia yeye mgeni,
  • Mgeni siku ya nane, njoo ndani tuonane, atakapotokea nje, tuagane mgeni
  • Mgeni siku ya kenda, enenda mwana kwenenda, usirudi nyuma, usirudi mgeni,
  • Mgeni siku ya kumi, kwa mateke na mangumi, hapana afukuzwaye, ni yeye mgeni.
 
Jangwani ndo kitu gani? So kama anamaliza tatizo la Jangwani basi akae hata mwaka huko kwa Biden?
Hapana, namaanisha katika maendeleo mama amedhamiria kweli kweli...ANAUPIGA MWINGI hovyo aendelee na plan za maendeleo na sio kusikiliza kelele za wasiompenda!
 
Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.

Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.

Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
acha tu nikae huku. ofisini kwa moto, nitarudi report za CAG zikipoa au hujui enzi hizo nilikuwa makamu wa rais?
 
Ujue Marekani Ni Taifa lenye vitaifa (states) vingi ndani yake. Usilinganishe na Tanzania ambayo ukikaa tu Dodoma ukaongea Nchi nzima inafuatilia. Mwacheni Mama afanye kazi na kutimiza maono yake. Ndiye Raisi kwa Sasa.
 
Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.

Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.

Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Huyu Mama ana dalili za kuangukia pua kunako 2025, yaani amerithi uozo wote wa Kikwete (rais dhaifu na useless kuwahi tokea nchini kwetu).
 
acha tu nikae huku. ofisini kwa moto, nitarudi report za CAG zikipoa au hujui enzi hizo nilikuwa makamu wa rais?
Hapo ndipo nawashangaa Watanzania, sijui tumelogwa nini. Wako wanaoamini ikiitwa awamu ya sita basi atakuwa amekwepa madudu yote yaliyotendekea awamu ya tano yeye akiwa ndiye msaidizi mkuu wa mtendaji mkuu.
 
Kama unajuwa English, huna kiberiti kifuani (pacemaker), unayo vision ya kujenga uchumi na diplomasia, hata ukikaa miezi 3 haina shida
sas si bora ujue English, hayao mengine ni ya kumuachia Mungu uzima wa mtu upo mikononi mwake yeye. huwa anafariki daktari anamwacha mgonjwa. alifariki aliyekuwa anapiga push ups akabaki aliyekuwa anaonekana mgonjwa. Vision ni neno rahisi kulitamka ila kuliishi au kuwa nalo kimaantiki ni ngumu. nchi hii ni miaka mingi imepita tangu tuwe na Rais mwenye vision. Ninyi watanzania ndo maana mnaibiwa sana pesa zenu hakuna mtu mwenye akili timamu atataka rais akae nchi nyingine hata week 2 hakuna. sisi tunawaambia tu otherwise tunaendelea kulamba asali.... ninyi mbaki mashabiki na wafuasi tu.
 
Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.

Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.

Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Naunga mkonyo huu uzi
 
Si yupo na husband wake Kuna shida gani huu ni wakati wa kufwaidi
 
Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.

Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.

Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Dah!
Sema tu kazi ya Mungu haina makosa. Lakini kiukweli watanzania tunalo.
Hadi 2025?
Mara mia angeachiwa Majaliwa.
 
Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.

Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.

Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Bado ana tembeza bakuli..lengo la kukusanya halijafikiwa..subiri akimaliza kutimiza lengo la makusanyo atarudi chapu..au umezahau ulaya na marekani kuna shamba letu huko ni mwendo wa mavuno tu.

Soon mjiandae kwa mapokezi pale JNIA siku akija na vijipesa kidogo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Binadamu ni mtu asiyejulikana kabisa huwa anataka nini,yule mwingine alikuwa hatoki kabisa akijua mtafurahi akaishia kuambiwa inakuwaje hatoki,huyu anatoka ili awafurahishe wanasema anatoka ila anakaa sana...
 
Back
Top Bottom