Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

Haya, nyie shida mmekaririshwa vibaya sana......aisee mwamba kwenye kukaririsha watu alikuwa kiboko, namzawadia uprofesa haki ya nani. Aliwezaje yule mtu kuwaaminisha watu wote kuwa, ukiacha yeye, wengine wote ni wezi na mafisadi na watu wakameza likawakaa kama zilivyokaa imani za dini kwa waafrika?!!!!

Angalau yy Kwa miaka sita amenunua hata ndege tunapanda
 
Mgeni akienda hata Dar akikaa mwezi na akafikia 5 star hotel anaheshima kuliko yule mgeni anayefikia siku 3 kwa shangazi. Rais hajafikia kwa shangazi yuko 5 star hotel anajilipia sio kulipiwa. acheni gubu nyinyi mnadhani kuwa mpinzani basi upinge kila kitu.
 
Hapo ndipo nawashangaa Watanzania, sijui tumelogwa nini. Wako wanaoamini ikiitwa awamu ya sita basi atakuwa amekwepa madudu yote yaliyotendekea awamu ya tano yeye akiwa ndiye msaidizi mkuu wa mtendaji mkuu.
mkuu yaani acha tu. Awamu hutengenezwa na ilani ya uchaguzi kama Polepole alipohoji aonyeshwe ilani ya awamu ya sita. Akabezwa. Lakini ukweli hii ni awamu ya Tano, na Samia anapaswa kusafisha madudu yao ya ngwe ya kwanza ya awamu ya tano
 
Mgeni akienda hata Dar akikaa mwezi na akafikia 5 star hotel anaheshima kuliko yule mgeni anayefikia siku 3 kwa shangazi. Rais hajafikia kwa shangazi yuko 5 star hotel anajilipia sio kulipiwa. acheni gubu nyinyi mnadhani kuwa mpinzani basi upinge kila kitu.
Biden anaweza kuja Tanzania asionane na Rais mwenzake?
 
Biden anaweza kuja Tanzania asionane na Rais mwenzake?
Hakwenda kwa ajili ya Biden wala hakuwa na agenda na Biden haya mambo yanapangwa kabla hujaandoka huku unaenda kwa ajili ya nini je ni mualiko wa Biden na serikali yake au ni safari yako ya kikazi. Kuna mamia ya marais wanaenda USA unadhani wote wanaenda kumuona Biden? Kikwete hajawahi kwenda USA, Mkapa hajawahi kwenda USA? mara ngapi walionana na Rais wa US? Biden utaonana naye kama mna agenda ya kuongelea Raisi hakwenda ziara rasmi ya kiserikali ni ziara yake kuitangaza Tanzania kiutalii na kuonana na world bank na IMF sio Biden. au ulitaka akapige picha tu na Biden.
 
Jibu swali Biden anaweza hata kuja mapumziko Seregenti asionane na Rais wa Tanzania? JK alionana na Obama mpk Obama wakaja na Bush au ulikuwa bado mchanga?
 
Jibu swali Biden anaweza hata kuja mapumziko Seregenti asionane na Rais wa Tanzania? JK alionana na Obama mpk Obama wakaja na Bush au ulikuwa bado mchanga?
Sasa mara ngapi JK mara ngapi katika miaka 10 ya utawala wake alisafiri USA? alikutana na Obama? kwa hiyo wewe shida yako akamshike mkono Biden basi shida zetu zitaisha au? naweza kuwa mchanga lakini kama wewe mkubwa na akili ndio hizo basi tunashida nchi hii. Obama alishawahi kwenda Kenya kumuona bibi yake na hakuonana na Rais wa Kenya
 
Jibu swali Biden anaweza hata kuja mapumziko Seregenti asionane na Rais wa Tanzania? JK alionana na Obama mpk Obama wakaja na Bush au ulikuwa bado mchanga?
Kuna kitu kinaitwa state visit na official visit Rais Samia kaenda official visit sio state visit ukijuwa tofauti zake basi huna haja ya kuuliza maswali.
 
Kule wanamuona kama vile ni Alikiba maana hata Rais wa nchi hana time ya kuonana naye sijui haoini hata aibu? Hajafanikiwa hata kuonana na Waziri wa mambo ya nchi ambaye ni kama PM kwa Tanzania
Acha masihara mkuu, kwa hiyo chifu hajaonana na Antony Blinken...
 
Nasuburi Kauli ya Lissu. Ile ya Tuna Raisi wa Hovyo haijawahi tokea
 
Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.

Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.

Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Haipendezi, upo kwenye nyumba ya mtu, mwenye nyumba hajitokezi hata kuja kukusalimu
 
Back
Top Bottom