ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 389
- 757
Jangwani ndo kitu gani? So kama anamaliza tatizo la Jangwani basi akae hata mwaka huko kwa Biden?Na bado, mtakuja na kila aina ya uzushi.......tatizo la jangwani linaenda kumalizwa hv karibuni
Sijaona habari yake CNN wala CBS wana NBC, wala hata Fox NewsKule wanamuona kama vile ni Alikiba maana hata Rais wa nchi hana time ya kuonana naye sijui haoini hata aibu? Hajafanikiwa hata kuonana na Waziri wa mambo ya nchi ambaye ni kama PM kwa Tanzania
Kabisa, hili ni kosa kubwa sanaSidhani kama tutajaribu tena kuichezea nafasi ya u makamu wa Rais.
Biden hana time nayeEeeh kumbe bado hajarudi, na Biden anaroho ngum sana yan mama anakaa kwake siku zote hizo hata picha tu hakuna
Hapana, namaanisha katika maendeleo mama amedhamiria kweli kweli...ANAUPIGA MWINGI hovyo aendelee na plan za maendeleo na sio kusikiliza kelele za wasiompenda!Jangwani ndo kitu gani? So kama anamaliza tatizo la Jangwani basi akae hata mwaka huko kwa Biden?
[emoji848]Huyo inasemekana kaenda kutibiwa kimya kimya,ana matatizo yake ya moyo.
Tuzidi kumuombea tu
We acha tu!Sidhani kama tutajaribu tena kuichezea nafasi ya u makamu wa Rais.
acha tu nikae huku. ofisini kwa moto, nitarudi report za CAG zikipoa au hujui enzi hizo nilikuwa makamu wa rais?Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.
Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.
Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Ujue Marekani Ni Taifa lenye vitaifa (states) vingi ndani yake. Usilinganishe na Tanzania ambayo ukikaa tu Dodoma ukaongea Nchi nzima inafuatilia. Mwacheni Mama afanye kazi na kutimiza maono yake. Ndiye Raisi kwa Sasa.Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.
Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.
Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Huyu Mama ana dalili za kuangukia pua kunako 2025, yaani amerithi uozo wote wa Kikwete (rais dhaifu na useless kuwahi tokea nchini kwetu).Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.
Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.
Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Hapo ndipo nawashangaa Watanzania, sijui tumelogwa nini. Wako wanaoamini ikiitwa awamu ya sita basi atakuwa amekwepa madudu yote yaliyotendekea awamu ya tano yeye akiwa ndiye msaidizi mkuu wa mtendaji mkuu.acha tu nikae huku. ofisini kwa moto, nitarudi report za CAG zikipoa au hujui enzi hizo nilikuwa makamu wa rais?
sas si bora ujue English, hayao mengine ni ya kumuachia Mungu uzima wa mtu upo mikononi mwake yeye. huwa anafariki daktari anamwacha mgonjwa. alifariki aliyekuwa anapiga push ups akabaki aliyekuwa anaonekana mgonjwa. Vision ni neno rahisi kulitamka ila kuliishi au kuwa nalo kimaantiki ni ngumu. nchi hii ni miaka mingi imepita tangu tuwe na Rais mwenye vision. Ninyi watanzania ndo maana mnaibiwa sana pesa zenu hakuna mtu mwenye akili timamu atataka rais akae nchi nyingine hata week 2 hakuna. sisi tunawaambia tu otherwise tunaendelea kulamba asali.... ninyi mbaki mashabiki na wafuasi tu.Kama unajuwa English, huna kiberiti kifuani (pacemaker), unayo vision ya kujenga uchumi na diplomasia, hata ukikaa miezi 3 haina shida
Naunga mkonyo huu uziHata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.
Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.
Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Si yupo na husband wake Kuna shida gani huu ni wakati wa kufwaidiHata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.
Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.
Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Dah!Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.
Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.
Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Bado ana tembeza bakuli..lengo la kukusanya halijafikiwa..subiri akimaliza kutimiza lengo la makusanyo atarudi chapu..au umezahau ulaya na marekani kuna shamba letu huko ni mwendo wa mavuno tu.Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua.
Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa hotelini tu kucheck movies, au unaenda kuzunguka madukani kufanya shopping.
Ndo mwishoni unaamua ukabembeee au kuogelea.... Maana huna la kufanya na wenyeji wameshakuchoka. Tuwe tunaangalia haya mambo tunapoenda ugenini.
Biden hama muda huo..sasahivi kaanza kuonana na madiwani soon atahamia kwa wenyeviti wa mitaa wa jiji la NY.Uhuru Kenyata akienda anapokelewa na Biden yeye hata hajulikani na kutwa yupo Marekani