Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

Unamaanisha bi mama yupo disney world sasa hivi anabembea huku kashika cone mkononi🤣🤣🤣🤣
 
Mgeni siku ya kwanza, ya pili akalime!
 
Hiyo ni dharau kubwa sn jamaa hata hajui kama yupo humo Rais kutoka Tanzania
Hapo new York kuna wanadiplomasia wa kila aina wanaingia daily wakiwamo maraisi wa nchi mbalimbali.sasa mpaka Biden aje ajue kuna Raisi anaitwa Hangaya kutoka Tanzania kaja kuzurura new York inachukua muda sana.
 
Kwa sasa yupo kama Hamisa Mobeto akienda marekani kumpelekea mzigo Rick Ross. Hakuna anaejua
 
Hapo new York kuna wanadiplomasia wa kila aina wanaingia daily wakiwamo maraisi wa nchi mbalimbali.sasa mpaka Biden aje ajue kuna Raisi anaitwa Hangaya kutoka Tanzania kaja kuzurura new York inachukua muda sana.
Kwanza hajui hata jina lake
 
Jiwe alikua hajui kizungu ndo.maana alikuwa anajifungia chato .mwache mama aendelee kufugua nchi
 
Sidhani kama tutajaribu tena kuichezea nafasi ya u makamu wa Rais.
Hakika mgombea mwenza asiwe anapitishwa na vikao,iwe dhamira ya mtu mwenyewe kuchukua fomu na ajitangaze kutia nia ya umakamu.Lissu angetwaliwa leo Rais angekuwa Salum Mwalimu
 
Unakuwa na kawaida yaani. Na sisi huku tunazoea kutokuwepo kwake.
 
Akae tu hadi mwakani atatukuta tunamsubiri
 
Nimecheka kwa nguvu, yaani huo mstari mmoja ndio huo umejibu kwa hilo li paragraph lote?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…