TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Magufuli kuidharau Corona na kuona watu wake wa karibu wanapukutika yeye akaamua kuvua nguo kabisa na kujitosa kwenye hilo dimbwi. Ilikuwa ni suala la muda tu! Ilikuwa ni sawa na kuangalia pambano la Cheka na Joshua halafu utegemee muujiza
 
Ila kuna vitu vinashangaza sana...yaani unazinanga chanjo za mabeberu huku ukiishi kwa kwa kutegemea Peace Maker kutoka kwao,achana na chanjo ulizopata utotoni....hapa ndo utajua kwanini Mfalme Suleiman alipo omba "Hekima" Mungu alimpa na utajiri.
 
Ukiona adui anakutafuta, unachukua tahadhari. Adui ambaye ni korona yeye alimdharau na hakujikinga kabisa wakati ana matatizo ya moyo ambayo ukipata virusi vya korona tu, ww ni byebye. Na watu waliomzunguka walikuwa wanaondoka tu. Tusiandike upuuzi, kifo chake amekileta mwenyewe FULL STOP
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…