TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Mwanga wa milele ukuangazie Magufuli,ulikubalika na wengi na ulichukiwa na wachache
 
Wewe ni msukuma nini?
Wamepigwa dafurao awaamini kabisa watani zangu hawa.Waliosema dunia duara waliona hili.Mkoa wangu alijua akiondoka mzee wake ye ndo atachukua usukani aamini kama amekuwa raia mzururaji asiye na Kazi this day.
 
Wamepigwa dafurao awaamini kabisa watani zangu hawa.Waliosema dunia duara waliona hili.Mkoa wangu alijua akiondoka mzee wake ye ndo atachukua usukani aamini kama amekuwa raia mzururaji asiye na Kazi this day.
Wasukuma wenzangu walimwita Jidabhunga .Yaani asiyeoza. 🤣
 
Ukiacha tabia na hulka yake ya ubishi na kujiamini kupita kiasi security detail yake na washauri wake pia wamechangia Sana kuondoka kwake haraka.
 

Nijibu maswali haya acha maneno mingi mingi.
1. Wanao shudia mbinguni ni nani?
2.wanao shudia duniani ni nani/ nini/ akina nani.

Ukijibu haya maswali mawili then nitakufafanulia ili uelewe kwa nini huo mpangilio uko hivyo.
 
PAKA na M7 ndio waliotuharibia mzee wetu wakamfunza tabia mbaya,all in all alianza vizuri Sana
Alianza vizuri tatizo viongozi wake wengi walikua wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa,wengi wao hawakua wazalendo na wachapakazi kama yeye,wengi walikua anang'ata na kupuliza na ngozi zao tutaziona baada na msiba huu
 
Kifo kipo tu huwezi kukikwepa ni binadamu huyo kama wewe
Ukilengwa risasi ya kichwa (ambayo ingesambaza ubongo) ukaikwepa) hapo haujakwepa kifo ?

Kauli kama hizi zikiendekezwa ni kuleta uzembe na kutokuchukua tahadhari....
 
kuna mkutano mmoja akiw juu ya gari camera zilimnasa akiwa na kikohozi si cha kawaida
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…