Sifa za kijinga! Corona ipo!Baada ya kukosa nafasi ya kuaga uwanjani nikasema ngoja niwahi uwanja wa ndege. Nilichokiona huku watu ni wengi mno wengine wametoka kwa miguu uwanjani wa Uhuru wakisindikiza msafara. Huzuni imetawala hapa ni vilio tu.
Acha upumbavu..!! Unahamasisha watu washerekee kifo. Tukikupwapua tukuhifadhi nyuma ya nondo uanze kulialia?Haya Chadema furahieni sasa mliyoyaomba yamejibiwa
Lakini amefanya mambo mengi ndani ya muda mfupiUnajua Magufuli alijaribu kuwaaminisha watu kua tunamtegemea Mungu.
Lakini Cha kushangaza hata Akina Lugola walipo muita Magufuli Mungu hakuijtokeza na kuwakemea.
Na hata Docta mpango alivo Muita Magufuli kua ni Mungu,Magufuli akujitokeza na kukemea.
Mungu kamuita Mungu mwenzie acha watu wakajionee kama ni kweli Mungu wa Tanzania kafa kweli,
Hata Mimi nipo,na nitaenda mpka chato nikajiidhirishe Kama ni kweli.
Hiyo kauli ya "Bora Magufuli" hautaisikia nchini Tanzania mpaka unaingia akhera.Wala sijapata ahueni,naona watu wanampigia debe Kinana na team yake warudi.Tunarudi kulekule kwa bora hata Magufuli.
Kwahiyo na ya Nyerere ifutwe?wachache akina nani?
Yaani huyu mtu amewaachia tabia mbovu sana ya double standard aisee....this is a big problem
kwahiyo kuna marais nyie judges ndio kwa utashi wenu mchague yupi apewe siku na nani asipewe siku ila ianzie na Magufuli ni bora kuliko wa zamani na watakaokuja nyie ndio mmeona?
tulidhani akifa tabia mbaya kama hizi zitakufa ila ndio kwanza zinaanza
Tabia mbovu za kidikteta,double standards,kuteka watu,etc mnaziendeleza,aisee hiki kirusi kiwaue woooote kabisa...
We are still in this nonsense japo mwanzilishi kafa
Mimi nilikuwa anti-Magufuli (kama rais, si kama mwanadamu), lakini mkuu hapo mkuu umeteleza, kumkumbuka mtu ni muda wowote.Hiyo kauli ya "Bora Magufuli" hautaisikia nchini Tanzania mpaka unaingia akhera.
Kitu ambacho tumekuwa nacho na tumekisikia mara nyingi ni "Bora Kikwete", "Bora Mkapa", "Bora Mwinyi" na "Bora Nyerere".
Kwa sasa tunasikiliza ya mama yetu mpendwa Samia.
[emoji1787]Nyerere ni chanzo
Baba wa Taifa,one and done makes sense..huwezi fananisha Nyerere Tembo na Magufuli sisimizi
Punguza unafiki
Ndizo sofa za 'mungu' zilivyo hufanya vitu vingi kwa wakati mfupi.Lakini amefanya mambo mengi ndani ya muda mfupi
Hatutarudi hukoWala sijapata ahueni,naona watu wanampigia debe Kinana na team yake warudi.Tunarudi kulekule kwa bora hata Magufuli.
7jamani nauliza magufuli ameacha watoto wangapi?
Ukijibu nitag
Majina yao
Ni kweli mkuu,"wanasema never say never" anaweza kuja mwendawazimu akawa hajali vitu wala watu....maana kwa Magufuli tunamkosoa tu kwa kutojali watu....lakini kwenye vitu aliwajibika siyo siri.Mimi nilikuwa anti-Magufuli (kama rais, si kama mwanadamu), lakini mkuu hapo mkuu umeteleza, kumkumbuka mtu ni muda wowote.
Suala la kumkumbuka mtu aliyepita linatokana na matatizo ya aliyepo kwa wakati huo. Tulianza kusema bora Kikwete baada ya Magufuli kuminya demokrasia na kuisigina katiba vya kutosha, vivyo hivyo anayefuata anaweza kukengeuka na kufanya ujinga wa kupita viwango. Hapo itakuwa rahisi sana kusema bora Magufuli kuliko huyu!
Mkuu sijachochea ila niliona post zao wakiomba mzee afe wafurahie, so nimeona sala zao zimejibiwa ikabidi niwakumbusheAcha upumbavu..!! Unahamasisha watu washerekee kifo. Tukikupwapua tukuhifadhi nyuma ya nondo uanze kulialia?
AiseeSamia Suluhu akiwa kama Rais ajae, ana uwezo wa kuturudisha kwenye nchi ya maziwa na asali au kuendeleza ubabe wa toka 2015.
Afufue uchumi uliosinyaa na kuleta sera nzuri zenye kuleta ustawi na mshikamano wa taifa letu. Palipo vunjika aunganishe, walioumizwa wapewe faraja.
Pia tusidhihaki wapakwa mafuta.
JPM apumzike anapostahili.
Wote waliomdhihaki wameshatangulia mbele ya haki.Lowassa kama namuona. Tukanyage kwa adabu Ardhi ya Allah.
Aiseemnazidi kutusukumizia tusiemtaka?
huyu mtu yaani heri kafa....
AiseeAliahidi kuufuta upinzani, naona kafutwa yeye mwenyewe.