Yaani TBCCM hio ndio kubwa kwao ...wanasifia mwanzo mwisho mpaka inakifuHabarini wanajukwaa!!
Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P.Magufuli naona saivi Musiba unataka kua kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia munaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.
Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki,pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.
Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wengine wanapandisha maruhaniUkiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...
Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)
Au anahuzunika sanaa..
ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Nguzo yake imeondokaHabarini wanajukwaa!!
Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kua kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia munaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.
Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki,pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.
Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
Hatari snYaani TBCCM hio ndio kubwa kwao ...wanasifia mwanzo mwisho mpaka inakifu
Watu wanaoichukia ccm wanaish maisha ya tabu snaa.na wataish maisha hayo mpaka hii nchi inaingia kaburini.sabab ccm kutoka madarakan ni ndoto ...kwahyo komaen hvyo hvyo na chuki za kimaskin...ila lisu hawi rais ngoooooUkiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...
Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)
Au anahuzunika sanaa..
ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Daaah kuna watu wanafiki mule ccm nyie subiriniDah ila kuna wabunge wa kike wamelia nkadhani wajane wasaidizi.
Nahisi TBC wanaendelea na ile kauli ya TUNATEKELEZA waache waendelee kutekeleza wanafiki tu hawa.Yaani TBCCM hio ndio kubwa kwao ...wanasifia mwanzo mwisho mpaka inakifu
Ameshikiliwa lakini hadondoshi vinywaji!Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...
Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)
Au anahuzunika sanaa..
ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Habarini wanajukwaa!!
Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kuwa kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia mnaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.
Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki, pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.
Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
[emoji106][emoji106][emoji106]Waache tu wafanye wanavyotaka. Ila mwisho wa siku, marehemu atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele! na maisha yataendelea kama kawaida.
Waache tu wafanye wanavyotaka. Ila mwisho wa siku, marehemu atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele! na maisha yataendelea kama kawaida.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Habarini wanajukwaa!!
Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kuwa kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia mnaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.
Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki, pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.
Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
Wapinzani uchwara tulieni msutwe na watanzania! Tulieni tumuenzi shujaa wetu! Shuhudieni mliyemwita 'dictator' anavyoheshimishwa na kupendwa na watanzania! Donde hilo lazima liwakwame tu hamna jinsi!Habarini wanajukwaa!!