TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...

Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)

Au anahuzunika sanaa..

ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaa
JamiiForums5672035.jpg
 
Habarini wanajukwaa!!

Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P.Magufuli naona saivi Musiba unataka kua kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia munaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.

Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki,pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.

Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
Yaani TBCCM hio ndio kubwa kwao ...wanasifia mwanzo mwisho mpaka inakifu
 
Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...

Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)

Au anahuzunika sanaa..

ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wengine wanapandisha maruhani
 
Habarini wanajukwaa!!

Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kua kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia munaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.

Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki,pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.

Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
Nguzo yake imeondoka
 
Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...

Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)

Au anahuzunika sanaa..

ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Watu wanaoichukia ccm wanaish maisha ya tabu snaa.na wataish maisha hayo mpaka hii nchi inaingia kaburini.sabab ccm kutoka madarakan ni ndoto ...kwahyo komaen hvyo hvyo na chuki za kimaskin...ila lisu hawi rais ngooooo
 
Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...

Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)

Au anahuzunika sanaa..

ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Ameshikiliwa lakini hadondoshi vinywaji!
 
Umenena kweli kabisa, ni wakati wa maombolezo, wakati wa kutiana moyo, wakati wa kufarijiana na kujengana kitaifa kwa kuwa tuna majonzi ya kumpoteza Rais wetu hayati John P.J. Magufuli. Si wakati wa kampeni za kisiasa au kubezana!
Habarini wanajukwaa!!

Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kuwa kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia mnaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.

Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki, pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.

[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Wapinzani uchwara tulieni msutwe na watanzania! Tulieni tumuenzi shujaa wetu! Shuhudieni mliyemwita 'dictator' anavyoheshimishwa na kupendwa na watanzania! Donde hilo lazima liwakwame tu hamna jinsi!
Si mlileta siasa maji taka, sie tunawaletea siasa safi! Na huko mlikokuwa mnamchafua Magufuli nao wanafuatilia yote ili na wao waanze kuwasuta kwa upuuzi mliokuwa mnaharisha kupitia matundu yenu mfyuuuuuu!
Pumzika kwa amani shujaa wetu Magufuli!
Ulipendwa na kukubarika mwana mwema wa Africa😭!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom