THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Wamefanya tafti au wameingizwa mkenge tu?Majaliwa kasema msiba umeangaliwa na watu 3.9 billion
Mimi ni mpinzani nimeumia sababu ni msiba nimeweka tofauti pembeni na kwenye kuaga nilikuwepoWapinzani uchwara tulieni msutwe na watanzania! Tulieni tumuenzi shujaa wetu! Shuhudieni mliyemwita 'dictator' anavyoheshimishwa na kupendwa na watanzania! Donde hilo lazima liwakwame tu hamna jinsi!
Si mlileta siasa maji taka, sie tunawaletea siasa safi! Na huko mlikokuwa mnamchafua Magufuli nao wanafuatilia yote ili na wao waanze kuwasuta kwa upuuzi mliokuwa mnaharisha kupitia matundu yenu mfyuuuuuu!
Pumzika kwa amani shujaa wetu Magufuli!
Ulipendwa na kukubarika mwana mwema wa Africa[emoji24]!
Niseme katika wanaccm walioonyesha kuumizwa na kuhuzunishwa kwa kiwango cha juu na msiba wa hayati Magufuli nikiwemo mimi mwenyewe ni RC Chalamila, DC Ole sabaya na NW wa afya Dr Mollel.
Uchungu wa wazalendo hawa watatu unanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyoangua kilio pale Morogoro baada ya aliyekuwa waziri mkuu kufariki kwa ajali ya gari.
RIP Magufuli!
Weka picha ya yenyewe tuyaone yanavyolia!!Niseme katika wanaccm walioonyesha kuumizwa na kuhuzunishwa kwa kiwango cha juu na msiba wa hayati Magufuli nikiwemo mimi mwenyewe ni RC Chalamila, DC Ole sabaya na NW wa afya Dr Mollel.
Uchungu wa wazalendo hawa watatu unanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyoangua kilio pale Morogoro baada ya aliyekuwa waziri mkuu kufariki kwa ajali ya gari.
RIP Magufuli!
John kwa hiyo umeweza kuuona uchungu walioupata wazalendo hao kwa kuwa uchungu wako ulikuwa na nafuu,au bado wazalendo wenzako hawajapata nguvu kutujulisha uchungu ulioupata mzalendo mwenzetu.Niseme katika wanaccm walioonyesha kuumizwa na kuhuzunishwa kwa kiwango cha juu na msiba wa hayati Magufuli nikiwemo mimi mwenyewe ni RC Chalamila, DC Ole sabaya na NW wa afya Dr Mollel.
Uchungu wa wazalendo hawa watatu unanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyoangua kilio pale Morogoro baada ya aliyekuwa waziri mkuu kufariki kwa ajali ya gari.
RIP Magufuli!
Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga....
Umemuona Jaffo lakini?John kwa hiyo umeweza kuuona uchungu walioupata wazalendo hao kwa kuwa uchungu wako ulikuwa na nafuu,au bado wazalendo wenzako hawajapata nguvu kutujulisha uchungu ulioupata mzalendo mwenzetu.
Ahsante bwashee!Poleni sana Bwasheee.
Naye kamkana Yesu mara 3?Umemuona Jaffo lakini?
Kama Petro!
Wapo wengi watakao kana matendo na mawazo yao akina,gwaj,ngug,mol,sab,petr, chal nawengineo.Naye kamkana Yesu mara 3?
Itapendeza ikiwa hao wanaokejeli na kusherekea kifo cha hayati Jpm pindi tu watakapoamua kurudi nchini bila kusita wakamatwe na kutupwa jela moja kwa mojaMara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa.
Edward Lowasa alifafanua madhara ya chama kubaki cha kiharakati muda wote kuwa ni pamoja na kupinga maendeleo yote ya nchi ,kuombea mabaya nchi ,kushirikiana na mabeberu ili kuiibia nchi ,pamoja na kushangilia kila lililobaya kwa taifa ili kumfurahisha tu anayefadhili hizo harakati zako. Matokeo ya harakati hizi ni chama kuchukiwa na wazalendo na kupoteza ushawishi kwa wananchi.
Hakika Lowasa aliona mbali. Leo brand ya chadema imeharibiwa vibaya, chama kilichojizolea umarufu kwa kutetea wanyonge leo kinataka machinga na mama ntilie wafukuzwe mitaani!!! Leo ni furaha kubwa kwa Chadema ndege kukamatwa na wazungu!!!
Pia tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.
Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.
Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.
Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia
Wewe je?Wanalilia matumbo yao
Mkuu aidha umehadithiwa vibaya au hujui kabisa maana ulikuwa hujazaliwa.Niseme katika wanaccm walioonyesha kuumizwa na kuhuzunishwa kwa kiwango cha juu na msiba wa hayati Magufuli nikiwemo mimi mwenyewe ni RC Chalamila, DC Ole sabaya na NW wa afya Dr Mollel.
Uchungu wa wazalendo hawa watatu unanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyoangua kilio pale Morogoro baada ya aliyekuwa waziri mkuu kufariki kwa ajali ya gari.
RIP Magufuli!