TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Tufanye yote ila tujue bila kushikamana hatutakuwa na Tanzania imara, hebu yaliyopita si ndwele tugange yajayo.

Pumzika kwa amani JPM
 
Hivii ww ndo ungekuwa TL upigwe risasi, unyimwe haki ya matibabu, uvuliwe ubunge na hakina hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi ua waliokupiga risasi,, ungeumia mhaini wako kufaaaa?

R.I.P JPM
 
hawajui kesho yao itauwaje,wameshaonja asali hao
Niseme katika wanaccm walioonyesha kuumizwa na kuhuzunishwa kwa kiwango cha juu na msiba wa hayati Magufuli nikiwemo mimi mwenyewe ni RC Chalamila, DC Ole sabaya na NW wa afya Dr Mollel...
 
Kweli ushamba mzigo
 
Niseme katika wanaccm walioonyesha kuumizwa na kuhuzunishwa kwa kiwango cha juu na msiba wa hayati Magufuli nikiwemo mimi mwenyewe ni RC Chalamila, DC Ole sabaya na NW wa afya Dr Mollel...
Wazalendo wa kuiba na kutunza wake za watu[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Na ukiona mtu anachekelea saaana, ujue pia huyo ndio mchawi mkubwa
Huwezi kusema ni mchawi mkubwa wakati chanzo cha kifo kimebainishwa.

Vinginevyo hao wengine wanaagiza vilio ukute hata machozi hayatoki.

Sasa kwa akili ndogo tu unawaza kulia na usitoe machozi kwa jambo lililokugusa?
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu amesema sababu ya kifo cha Rais itakuwa ni kudukuliwa kwa mfumo wa umeme mwilini na siyo vinginevyo.

Hivyo Tundu Lisu anakubaliana na taarifa rasmi ya serikali kwamba Rais Magufuli amefariki kutokana na matatizo ya moyo.

Nadhani Bavicha mmemuelewa boss wenu anayeishi Ulaya.
 
Nilidhani umeshakufa kumsindikiza rafki yako. Kumbe ni maneno tu, kufa umfuate si unampenda kulko chochote
 
Wewe ni muongo kama CCM wengine wote. Weka hapa maandishi ya TL akisema hayo.
Hivi nyinyi CCM mna unasaba na yule baba wa uongo - Ibilisi/Shetani!!!??!
Mbona mu waongo kupindukia!!??
Mbona mu waongo kuliko hata baba wa uongo!!??
 
Wewe ndio uko nyuma kweli kimawasiliano.

Bavicha wenzio watakucheka!
 
Noted..!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…