TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Maisha ni mafupi sana:-

watu wamefukuzwa kwa vyeti feki na wamenyimwa mafao ,ni ukatili mkubwa sana uliofanywa...Tutende mema dunia tunapita,Jk alikuwa anajua kwamba kuna watu wenye vyeti feki lakini aliacha na kuwaambia wajiendeleze.
 
Kuishi ni Kristo kufa ni faida. Imekwisha. Mungu wetu kwa jina la Bwana Yesu Kristo ambaye JPM alimkiri hadharani atabakia kuwa Mungu Mkuu. Mungu wa miungu. Pumzika kwa amani ya Bwana Yesu.

Amani ile ishindayo amani zote, mpendwa wetu John Joseph Pombe Magufuli. Bwana alitoa na Bwana ametwaa tutaendelea kulihimidi Jina la Bwana Yesu.
 
Dah.. bwana alitoa, na bwana ametwaa.. jina la bwana lihidimiwe. RIP Mr President, mourn till we join you [emoji120][emoji173]
 
Dunia tunapita, Eeeh Mwenyezi Mungu tunakuomba umlaze Mahali pepa peponi, Amen. 😥
 
Habari ngumu sana hii kuipokea. Apumzike kwa amani Rais
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…