TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Apumzike kwa amani shujaa wa Tanzania, wengi tulitamani kuishuhudia Tanzania mpya chini yake. Hakika taarifa ya kifo chake kilinishtua mno…
Sasa hivi tupo awamu ya 6 jomba wacha kusinzia sinzia
 
Nani kakuambia nimesinzia, kazi kazi kwa kwenda mbele ila legacy yake itaendelea kuishi bwashee
Ipi hiyo unayo itaja wakati sasa hivi watu wanazidi kuikumbuka legacy ya mwl JK Nyerere?
 
Je alilia ?
Akidondoka?
Alipiga kelele?
Alilalamika ?
Alijua anakufa?
Alikuwa amelala?
Je kifo kilikuwa Cha mchakato?
Au kufumba na kufumbua?
Alisema Nini?
Aliacha wosia?
Alikuwa anawaza Nini? Wakati roho inatoka?
Yani nna maswali mengi Sana juu ya dakika za mwisho za yule mwamba.
 
Muulize Etwege alikuwepo
 
Unaonaje ukifika pale hospital alipokua kalazwa alafu umtafute doctor aliekuepo karibu akimhudumia nafikiri ndiyo ana majibu yote ya maswali yako..

Binafsi niliskia kwenye radio kuhusu kifo chake so sijui ilikuaje..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…