Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ushamfukuza hapoOh very saad.Je alipata nafasi ya kuomba msamaha watu aliowatendea vibaya?
RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamfukuza hapoOh very saad.Je alipata nafasi ya kuomba msamaha watu aliowatendea vibaya?
RIP
Hasa weweNi binadamu wachache sana wanaojaliwa mwisho wa namna hii.
Wengi wetu tutakufa vifo vibaya mpaka wahudumu wa mochwari wanatishika.
Atafanyaje wakati huo ndiyo mwisho wa akili zake?Hahahahahahaaa! Eti jasiri w kifo.
Hawa majama wanaishi kama digidigi tuHasira za kutumbuliwa.
Ndo imetoka hiyo alie kutumbua ameisha kufa, zoea tu maisha mapya.
Sasa hivi tupo awamu ya 6 jomba wacha kusinzia sinziaApumzike kwa amani shujaa wa Tanzania, wengi tulitamani kuishuhudia Tanzania mpya chini yake. Hakika taarifa ya kifo chake kilinishtua mno…
Naunga mkonoNinatamani nawe mtoa hoja ungeondoka naye mwendazake maana ingekua one minus tatizo la nchi
Huyu zaman zake tu. Watu tukawahi misa st. Peters lkn wapi... mbongo atakunyima pande la nyama siyo ubuyu...Maana inasemekana aliletwa akiwa katika COMA tarehe za mwanzo za mwanzo za March. Kama una elimu ya afya utajua fika what follows after COMA..
Nani kakuambia nimesinzia, kazi kazi kwa kwenda mbele ila legacy yake itaendelea kuishi bwasheeSasa hivi tupo awamu ya 6 jomba wacha kusinzia sinzia
He was real sick 🥲Huyu zaman zake tu. Watu tukawahi misa st. Peters lkn wapi... mbongo atakunyima pande la nyama siyo ubuyu...
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ipi hiyo unayo itaja wakati sasa hivi watu wanazidi kuikumbuka legacy ya mwl JK Nyerere?Nani kakuambia nimesinzia, kazi kazi kwa kwenda mbele ila legacy yake itaendelea kuishi bwashee
Na magonjwa yake alitakiwa pumzika. Huu urais was a big no kwake... hamna noma lkn. So far tuko poaHe was real sick 🥲
Muulize Etwege alikuwepoJe alilia ?
Akidondoka?
Alipiga kelele?
Alilalamika ?
Alijua anakufa?
Alikuwa amelala?
Je kifo kilikuwa Cha mchakato?
Au kufumba na kufumbua?
Alisema Nini?
Aliacha wosia?
Alikuwa anawaza Nini? Wakati roho inatoka?
Yani nna maswali mengi Sana juu ya dakika za mwisho za yule mwamba.
Muulize Etwege alikuwepo
good.
Chuki inapimwaje?We jamaa punguza chuki kwa Mwendazake kha[emoji1544]