TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Fedha zinazofanya hiyi miradi ni kodi zetu sisi watanzania.

Hazikutoka kwenye mshahara wake

Yaani we jamaa “bwege” sijakutukana ila ndo pengine ulivyo kupitia comments zako! Sometimes chuja kabla hujacomment
 
Yaani we jamaa “bwege” sijakutukana ila ndo pengine ulivyo kupitia comments zako! Sometimes chuja kabla hujacomment
Ukiona mtu anatanguliza matusi badala ya kujibu kwa hoja basi ujue kaishiwa maarifa na amebakia mapengo kwenye ubongo wake
 
Kweli aisee yaani kina Bashiru, Bashiru walidhani wangekuwa na madaraka milele,,angalia Musiba
 
Alikuwa anaugua nini.
 
Unaonaje ukifika pale hospital alipokua kalazwa alafu umtafute doctor aliekuepo karibu akimhudumia nafikiri ndiyo ana majibu yote ya maswali yako..

Binafsi niliskia kwenye radio kuhusu kifo chake so sijui ilikuaje..
Labda kama hajipendi aende tuu aone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, Kama Yeye hakutengeneza maisha yake na Mungu, ata angeombewa na malaika..... Kuzimu na Moto unamuhusu. Tuandae maisha yetu kwa Toba wenyewe
 
Dah!!


Kwakweli ni ujasiri mkubwa sana na scenario hii inafikirisha Sana, but nina maswali mengi sana juu ya haya yasemwayo na familia na pia umeyanena na wewe,mimi nilijua kwamba kwa tatizo lake ilitokea ghafla tu yaani kama ilikuwa mshtuko ndo mpendwa wetu akawa amepoteza maisha, dah but unfeighned nilimpenda sana Magufuli [emoji24][emoji24] nam miss sana huyo mzee dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]


Continue resting in God's hands my beloved Papa!!
 
Alikufa kishujaa
 
Hivi na wewe unaamini kabisa alichoandika hapa huyo mfia chama wa kijani Etwege ? Huyo hana hadhi hata ya kuonana na bashiru itakua jiwe?
 
Acha uongo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…