Naunga mkono
Nakushauri we jamaa, punguza ghadhabu kwa Mwendazake, hayupo na hatarudi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono
Fedha zinazofanya hiyi miradi ni kodi zetu sisi watanzania.
Hazikutoka kwenye mshahara wake
Ukiona mtu anatanguliza matusi badala ya kujibu kwa hoja basi ujue kaishiwa maarifa na amebakia mapengo kwenye ubongo wakeYaani we jamaa “bwege” sijakutukana ila ndo pengine ulivyo kupitia comments zako! Sometimes chuja kabla hujacomment
Kweli aisee yaani kina Bashiru, Bashiru walidhani wangekuwa na madaraka milele,,angalia MusibaYaan kupitia mwendazake iliniongezea sana somo ktk maisha. Yaan kamwe usiongee ukamaliza yote. Na heshimu kila mtu aisee hujui kesho yako... ila nashangaa sana polepole hizi balls ni za sukuma gang bado wana nguvu ama ni kina nani
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Alikuwa anaugua nini.Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Ningekua na power wangekula mshale woteKweli aisee yaani kina Bashiru, Bashiru walidhani wangekuwa na madaraka milele,,angalia Musiba
Labda kama hajipendi aende tuu aone [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaonaje ukifika pale hospital alipokua kalazwa alafu umtafute doctor aliekuepo karibu akimhudumia nafikiri ndiyo ana majibu yote ya maswali yako..
Binafsi niliskia kwenye radio kuhusu kifo chake so sijui ilikuaje..
shujaa wa kitu gani. Acheni kushika watu masikioshujaa mjenga nchi aliondoka mapema sana.
Wengine walikuwa vyeti feki mkuu,wanalipia machungu humo humo utafikiri ndio mtanzania wa kwanza kufa vileWe jamaa punguza chuki kwa Mwendazake kha[emoji1544]
Dah!!Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Mwanasimba mwenzangu achana na Marehemu mkuushujaa wa kitu gani. Acheni kushika watu masikio
Alikufa kishujaaKwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Hivi na wewe unaamini kabisa alichoandika hapa huyo mfia chama wa kijani Etwege ? Huyo hana hadhi hata ya kuonana na bashiru itakua jiwe?Dah!!
Kwakweli ni ujasiri mkubwa sana na scenario hii inafikirisha Sana, but nina maswali mengi sana juu ya haya yasemwayo na familia na pia umeyanena na wewe,mimi nilijua kwamba kwa tatizo lake ilitokea ghafla tu yaani kama ilikuwa mshtuko ndo mpendwa wetu akawa amepoteza maisha, dah but unfeighned nilimpenda sana Magufuli [emoji24][emoji24] nam miss sana huyo mzee dah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Continue resting in God's hands my beloved Papa!!
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
[emoji23][emoji23]hivi braza unakijua kifo au unaongea tu kufurahisha eeh
Kasimuliwa vipande vipande naye anatuletea vipande vipande.
Kwa mtu ambaye ameshawahi shuhudia "Mchakato wa kufa" kwa mara kadhaa wa kadhaaa ........
Et alivomaliza ,akajifunika, akalala, hakuamka tena[emoji23]