TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Na uchumi wetu pia kwenda wa kati,nilikua sometimes nam criticize but i know for a fact aliipenda Tanzania,na alitaka watanzania maisha yao yawe bora, RIP baba utakumbukwa miaka yote
Alitaka kumaliza urais wake akiwa ameweka miundombinu muhimu yote ili ajae ajishuhulishe na mengine. Aliipa TZ heshima kwa nchi jirani.

Anyways, anaejua sheria inasemaje tujuzane, mama Samia ataongoza nchi mpaka 2025 au utaitishwa uchaguzi mpya?
 
Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe
.


Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.



Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Heri nikute mashaka,
Sawasawa na wewe.


Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.

Bye dad,i feel like ooooh i can not explain Kwaheri John

Let me just sing,i can not do any more movement,Nimekwama aseee...
 
Hata siamini.
Hii habari imenishtua na kusimamisha haraki zangu zote.

Dah mungu akulaze pema jembe langu.
 
Rip my President.
Kuna watu sijui wapo kwenye hali gani
Cc bashite,musiba
 
May the Holy Mary mother of Mercy embrace you in her hands 💔💔
 

Bless man
 
RIP
Mungu ampe hekima Mama Samia aweze kulijenga hili taifa, aweze kukusanya pamoja ccm na chadema, aweze kuondoa uchama uliokithiri, tupendanenini.

Magufuli ameshamaliza safari yake kwa sasa, wenye Shida ni sisi tuliobakia.
Mungu atuunganishe tena
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…