rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,020
- 3,309
Kule ndo basi tena boss.Chato sasa itakuwaje!! Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule ndo basi tena boss.Chato sasa itakuwaje!! Duh
Alitaka kumaliza urais wake akiwa ameweka miundombinu muhimu yote ili ajae ajishuhulishe na mengine. Aliipa TZ heshima kwa nchi jirani.Na uchumi wetu pia kwenda wa kati,nilikua sometimes nam criticize but i know for a fact aliipenda Tanzania,na alitaka watanzania maisha yao yawe bora, RIP baba utakumbukwa miaka yote
Ahsante bwashee!Bwashee pole sana.
Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Heri nikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.
Bye dad,i feel like ooooh i can not explain Kwaheri John
Let me just sing,i can not do any more movement,Nimekwama aseee...
Huyu aliiependa zaidi ccm sisi wapinzani alikuwa hatupendi hata kampeni aliwaambia watu wachague ccm tu.Hakika nchi imempoteza kiongozi aliyeipenda nchi kwa mapenzi ya dhati. Apumzike kwa amani Rais Magufuli
mkuu ni kweliHii ni kweli?