TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Tutajuta kwanini ameondoka... Mungu amrehemu mpendwa wetu.... daima nitakukumbuka Rais JPM. Umefanya mengi kwenye nchi yetu bila woga...

Bwana ametoa, Bwana ametwaa.
Jina la Bwana lihimidiwe
 
Mie unafiki siutaki.. roho inauma balaa. Nilikua mpinzani kindaki ndaki ila nimelia jaman.. dah, nimeumiaaa
Ukweli umuweka mtu huru... Nyeupe iwe nyeupe katu tusiilazimishe iwe broken white. Pamoja na mabaya yake ila yasipunguze utu tukakosa kuona na yale mazuri yake 🙇

Pole kwa kuumia, jana nilikutafuta Uzi mzima haupo.
 
Innaa Lilahi Wainna Ilayhi Rajiuun.(Hakika ya sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
Mama Samia Ukikamata Uraisi fanya vitu 5 haraka sana...
Haya ndio unayaona yana maana?
1. Kwanini mashehe wa uamsho?
2. Kwanini bureau zirejeshwe?
3. Katika sawa
4. Bandari huru? Kwa sababu zipi?
5. Sawa
 
Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
 
Tutajuta kwanini ameondoka... Mungu amrehemu mpendwa wetu.... daima nitakukumbuka Rais JPM. Umefanya mengi kwenye nchi yetu bila woga...

Bwana ametoa, Bwana ametwaa.
Jina la Bwana lihimidiwe
Utajuta wewe na Mataga wenzako
 
Ukweli umuweka mtu huru... Nyeupe iwe nyeupe katu tusiilazimishe iwe broken white. Pamoja na mabaya yake ila yasipunguze utu tukakosa kuona na yale mazuri yake 🙇

Pole kwa kuumia, jana nilikutafuta Uzi mzima haupo.
Nimelala mapema sana..dah .nilikua nacheka balaa tweeter ila dogo kwa hili tutayumba .dah nimesimama naangalia mwendokasi hapa dah ..anywys rip....
 
Hii ndio ile hata mlevi, mwizi, mchawi hata akija utasikia Mungu amlaze mahali pema peponi.
Kuhukumu ni kazi ya Mungu
Pumzika kwa Amani JPM
Kwani kuna ubaya gani watu uliowataja kulazwa mahali pema peponi.
 
Ukweli umuweka mtu huru... Nyeupe iwe nyeupe katu tusiilazimishe iwe broken white. Pamoja na mabaya yake ila yasipunguze utu tukakosa kuona na yale mazuri yake [emoji144]

Pole kwa kuumia, jana nilikutafuta Uzi mzima haupo.
Huo ni unafiki,hakuna utu wala huruma kwa muuaji. Nadhani ungekuwa Mzazi wa Ben Saanane na Azory sijui kama ungeongea huu upuuzi the so called Utu. Jiwe alikuwa ni shetani.
 
Utajuta wewe na Mataga

Mimi si shabiki kwa kisiasa kama unavyodhani. Na wala sina hata kadi ya chama chochote cha siasa ila JPM alikuwa Rais bora zaidi kuliko marais wote niliowahi kuwafahamu hapa Tanzania 🇹🇿
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…