KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Inawezekana sasa pakaanza kuwemo bungeni watakaojitutumua.Na wizi wa kutisha umeshatokea wa bilioni 180 kama siyo zaidi na bahati mbaya sana tuna Bunge UCHWARA ambalo halijali maslahi ya Nchi.
Hebu subiri tuone.