Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Atakuwa raisi wa 6 katika awamu ya 5Kam kichwa cha habari kinanyosema; nisiwachoshe wafiwa,mh Rais ndo kama tulivyosikia; na kwa mujibu ya katiba yetu mama Samia ndo atakua Rais wetu kwa muda uliobaki hadi 2025. Sasa swali linakuja, atakua rais wa awamu ya sita....au ya tano inaendelea!?
The ANGER in you will consume you to the maximum, in time you know it will be too late.Acheni basi ujinga
Magufuli atakumbukwa mnoo
Watu kwa sasa wanasukumwa na mihemko ya kishetwani tuh
Best pole na msibaAtakuwa raisi wa 6 katika awamu ya 5
Tuwe makini sana na tunayempa madaraka makubwa ya nchi. Haiwezekani tunakuwa na mtu ambaye hata kuumwa kwake hatuwezi kuambiwa! Jamani! Hii ni nini? Kwanini tunafika huko? Hivi vyama vijifunze kutuletea watu wa watu na siyo madikiteta wakubwa.Jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Nahisi wangekuwa hawalindi kaburi hilo watu wangefukua ili maiti iliwe na fisi...
SurePamoja na malalamiko mengi dhidi ya Magufuli
na mapungufu mengi ambayo baadhi ya watu wamekuwa wakisema dhidi yake.
Niseme kwa kifupi Magu alikuwa raisi mzuri sana!!
Hakuna raisi mtakuja kumkumbuka kama huyu ngoja siku ziende kidoogo......
Wizi,ujambazi wa kupora fedha mitaani, kwenye mabenki, ufisadi vilidhibitiwa kipindi chake.
very wise,barikiwa mnoApumzike kwa Amani
Kila jambo na wakati wake lakini yote hayawezi kututenga na upendo wa Mungu....
Asante sanaBest pole na msiba
Pumbavu mmetelekeza vijana bila ajira
Mafao mmeyakalia huko ,wazee wetu wanateseka ..
Mmenyanyasa watu ..
Mmeua watu ...
Asante mungu
Lini kaliondoka ??Endeleen kushangilia kifo cha Magufuli ila nawakumbusha tu “unanijua mimi nani?taraatibu zinaaanza kurudi na wale wahindi,waarabu na wenye kipato jeuri zao tutakoma
Hadi ukaamua kuniita mjinga mzee dah!Wewe mjinga wapigaji unafikili walikuwa wameisha ..
Wamo bado CCM.
Kuna Mkulungwa alitutesa sana kwa pesa zake za upigaji bandarini.
Ukijisikia kukuadhibu anakuchokoza alafu anakuitia Defender kwa pesa zake za upigaji bandarini.