Adam-Saffi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 394
- 305
Lini kaliondoka ??
Matendo na maneno ya mama Samia yalikuwa yanaonyesha ana madaraka mama alishindwa kufake.Kwa nini walikuwa wanakufa Ganga? How can we believe he died today? Could have been dead for a few days or weeks. It is dad, corruption will be back very soon.
are they going to free those people who said he was sick or dead. Tafadhali waaachieni, they were telling us the truth.
Tz ipi ya kupasuka?Naiona tanzania yenye mpasuko tuombe Mungu atuvushe salama
Jamani tupigieni screen short wengine hatuna VPN .
Sio rahisi, mzee ameacha legacyjapo sielewi kwa nn watu wameamka bila hofu na wanaelekea makazini.....wkt wa mwl tiki seace chumbani, watu kimya maredio yakaimba, yakatuomboleza nk
Ofisi gani hiyo ukifika unapokelewa vizuri ??Sio kaliondoka bali kalipungua kwa kias flan ukifika ofisini unapokelewa vzr huwez kaa reception mda mrefu km miaka ya nyuma unaeza kalishwa mapokezi mpk matako yakauma
Kwanj hayo yameisha..?? Juzi kuna kijana kafanyiwa hivyo Moshi huko.. Fatilia visa wewe, unanijua mimi nani ni msemo tu hata muuza mahindi anaweza kujinasibu nao katika hali yakutafuta kumkalisha mtuKuna Mkulungwa alitutesa sana kwa pesa zake za upigaji bandarini.
Ukijisikia kukuadhibu anakuchokoza alafu anakuitia Defender kwa pesa zake za upigaji bandarini.
Magufuli atakumbukwa mnoo
Watu kwa sasa wanasukumwa na mihemko ya kishetwani tuh
Mbona Twitter sasa hivi ni accesible bila hata ya VPN?Jamani tupigieni screen short wengine hatuna VPN .
Tunajua jamaa alikuwa anapiga yeye na team yake, ila wengine walikuwa wanakipata cha moto wakidokoa
Sasa ni mwendo wa
1. Wizi kwenye harimashauri
2. Wizi kwenye wizara kila mtu ataiba itajulikana mbeleni
3. Wizi kwenye mifuko ya jamii
4. Wizi kwenye mashirika ya umma
Nchi hii itakuwa mikononi mwa deep state wizi utakuwa wizi
Mafisadi wazungu watarudi na mikataba ya wizi deep state itauza nchi maana hawana huruma na nchi
Mark my words tutapoteana