TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Tell us the truth, how do u discharge a patient only to come back and die? Tuambieni ukweli?
 
Kwa nini walikuwa wanakufa Ganga? How can we believe he died today? Could have been dead for a few days or weeks. It is dad, corruption will be back very soon.

are they going to free those people who said he was sick or dead. Tafadhali waaachieni, they were telling us the truth.
Matendo na maneno ya mama Samia yalikuwa yanaonyesha ana madaraka mama alishindwa kufake.
 
Tunajua jamaa alikuwa anapiga yeye na team yake, ila wengine walikuwa wanakipata cha moto wakidokoa

Sasa ni mwendo wa

1. Wizi kwenye harimashauri
2. Wizi kwenye wizara kila mtu ataiba itajulikana mbeleni
3. Wizi kwenye mifuko ya jamii
4. Wizi kwenye mashirika ya umma

Nchi hii itakuwa mikononi mwa deep state wizi utakuwa wizi

Mafisadi wazungu watarudi na mikataba ya wizi deep state itauza nchi maana hawana huruma na nchi

Mark my words tutapoteana
 
Ule mzigo unaosemekana ulishushwa airport kutoka ng'ambo haukuwa wa kawaida maana sio kwa umakini ule, mlioko airport Julius Nyerere ulikuwa ni mzigo gani?
 
Namwomba Samia Suluhu Hassan aamuru wote walioko Mahabusu kwa eti kuulizia tu Mzee yuko wapi. Tujifunze unyenyekevu, unalipa hapa duniani na Mbinguni.
 
Sio rahisi, mzee ameacha legacyjapo sielewi kwa nn watu wameamka bila hofu na wanaelekea makazini.....wkt wa mwl tiki seace chumbani, watu kimya maredio yakaimba, yakatuomboleza nk

Kaka wengi wao walikuwa wanafanya kazi kuogopa kutumbuliwa ila tuombe Mungu san kwa taifa letu[emoji1241]
 
Sio kaliondoka bali kalipungua kwa kias flan ukifika ofisini unapokelewa vzr huwez kaa reception mda mrefu km miaka ya nyuma unaeza kalishwa mapokezi mpk matako yakauma
Ofisi gani hiyo ukifika unapokelewa vizuri ??


Maana ni jana tu kulikuwa na thread humu ya malalamiko.
 
Kuna Mkulungwa alitutesa sana kwa pesa zake za upigaji bandarini.
Ukijisikia kukuadhibu anakuchokoza alafu anakuitia Defender kwa pesa zake za upigaji bandarini.
Kwanj hayo yameisha..?? Juzi kuna kijana kafanyiwa hivyo Moshi huko.. Fatilia visa wewe, unanijua mimi nani ni msemo tu hata muuza mahindi anaweza kujinasibu nao katika hali yakutafuta kumkalisha mtu



Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Tunajua jamaa alikuwa anapiga yeye na team yake, ila wengine walikuwa wanakipata cha moto wakidokoa

Sasa ni mwendo wa

1. Wizi kwenye harimashauri
2. Wizi kwenye wizara kila mtu ataiba itajulikana mbeleni
3. Wizi kwenye mifuko ya jamii
4. Wizi kwenye mashirika ya umma

Nchi hii itakuwa mikononi mwa deep state wizi utakuwa wizi

Mafisadi wazungu watarudi na mikataba ya wizi deep state itauza nchi maana hawana huruma na nchi

Mark my words tutapoteana

Baniani mbaya kiatu chake.....
 
Lakini kwa nini wasaidizi wake hawakuwa mstari wa mbele kulinda uhai wa kimwili wa huyu ndugu yetu? Kwa nini walimwacha afanye atakavyo?
 
Heart problems don’t just come, there are signs etc which can easily be detected various tests. Wamemua huyo ili wale nchi, alikuwa anakata corruption. Now they are rejoicing. 14 days for a sitting President. Masafari ya ulaya dada yataanza kwa ladies.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom