Ila kwa upande mwingine madogo ajira ndo zinakuja hivyo
Niko maeneo hayo tuliyoyaona na kusikia wiki hii hayakuwa ya kawaida. Ilikuwa siku ya Jnne.Ule mzigo unaosemekana ulishushwa airport kutoka ng'ambo haukuwa wa kawaida maana sio kwa umakini ule, mlioko airport Julius Nyerere ulikuwa ni mzigo gani?
Hako unakoita kamsemo kwani kaliisha lini?! Au unamaanisha katarudi kwa kila mtu badala ya kutumika na watu maalumu peke yake!!! Btw, anayesema "unanijua mimi" huku akiwa hafanyi madhara yoyote, na yule asiyesema huku akitekeleza "unanijua mimi" kwa vitendo kama kuua watu, kufunga watu hovyo hovyo, na mengine kama hayo, bora ni yupi!! Halafu sijui unaishi dunia ipi manake hao Wahindi na wenzao uliowataja ndo wamekoma zaidi kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote ule!Endeleen kushangilia kifo cha Magufuli ila nawakumbusha tu “unanijua mimi nani?taraatibu zinaaanza kurudi na wale wahindi,waarabu na wenye kipato jeuri zao tutakoma
Mkuu kwani kalikuwa kamekwisha au kalihama?Endeleen kushangilia kifo cha Magufuli ila nawakumbusha tu “unanijua mimi nani?taraatibu zinaaanza kurudi na wale wahindi,waarabu na wenye kipato jeuri zao tutakoma
gogoki apewe heshima..Ndio maana lissu alikuwa na uhakika sana.
Majaliwa alitupotosha kwa kusema kwamba raisi yupo njema na anachapa kazi ikulu while samia anatuambia kwamba tar hizo alikuwa anapewa matibabu mzena.
Kabisa mkuu,baada ya mwaka mmoja nazani ukweli utajulikana.Magufuli atakumbukwa mnoo
Watu kwa sasa wanasukumwa na mihemko ya kishetwani tuh
Kwenye watu wengi huwezi kukomesha wizi unauwezo wa kuupunguza tu 'where there many people you can not stop stealing ,you can only control'Tunajua jamaa alikuwa anapiga yeye na team yake, ila wengine walikuwa wanakipata cha moto wakidokoa
Sasa ni mwendo wa
1. Wizi kwenye harimashauri
2. Wizi kwenye wizara kila mtu ataiba itajulikana mbeleni
3. Wizi kwenye mifuko ya jamii
4. Wizi kwenye mashirika ya umma
Nchi hii itakuwa mikononi mwa deep state wizi utakuwa wizi
Mafisadi wazungu watarudi na mikataba ya wizi deep state itauza nchi maana hawana huruma na nchi
Mark my words tutapoteana
Mlishauriwa imalisheni mifumo mkamuabudu mtu sasa ndio madhara yake.Sio kaliondoka bali kalipungua kwa kias flan ukifika ofisini unapokelewa vzr huwez kaa reception mda mrefu km miaka ya nyuma unaeza kalishwa mapokezi mpk matako yakauma
Sasa hofu ya Nini?si tuko kwenye maombolezo?tunachapa kazi huku tukiomboleza🙏Sio rahisi, mzee ameacha legacyjapo sielewi kwa nn watu wameamka bila hofu na wanaelekea makazini.....wkt wa mwl tiki seace chumbani, watu kimya maredio yakaimba, yakatuomboleza nk
Lakini kwa nini wasaidizi wake hawakuwa mstari wa mbele kulinda uhai wa kimwili wa huyu ndugu yetu? Kwa nini walimwacha afanye atakavyo?
Kwa hiyo saivi atapandishwa?Hakumpandisha daraja mume wangu kwa miaka 6...mume analipwa mshahara wa degree na huku ana Phd nw😏!
Hilo tu kwakweli