TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Hata Bashiru Ally hafai kuwa katibu Mkuu Kiongozi, ni kada wa chama. Turudishe utumishi wa umma kwenye mstari wake. Haiwezekani vyeo vyote vya kiutumishi wanakaa wanasiasa.
 
Ifike mahali tuache kutegemea one man show. Hiyo hofu kwa sababu ya kuamini katika mtu mmoja. Tunahitaji taasisi imara, zenye nguvu na uhuru kamili.
 
Endeleen kushangilia kifo cha Magufuli ila nawakumbusha tu “unanijua mimi nani?taraatibu zinaaanza kurudi na wale wahindi,waarabu na wenye kipato jeuri zao tutakoma
Hako unakoita kamsemo kwani kaliisha lini?! Au unamaanisha katarudi kwa kila mtu badala ya kutumika na watu maalumu peke yake!!! Btw, anayesema "unanijua mimi" huku akiwa hafanyi madhara yoyote, na yule asiyesema huku akitekeleza "unanijua mimi" kwa vitendo kama kuua watu, kufunga watu hovyo hovyo, na mengine kama hayo, bora ni yupi!! Halafu sijui unaishi dunia ipi manake hao Wahindi na wenzao uliowataja ndo wamekoma zaidi kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote ule!
 
Endeleen kushangilia kifo cha Magufuli ila nawakumbusha tu “unanijua mimi nani?taraatibu zinaaanza kurudi na wale wahindi,waarabu na wenye kipato jeuri zao tutakoma
Mkuu kwani kalikuwa kamekwisha au kalihama?
 
gogoki apewe heshima..Ndio maana lissu alikuwa na uhakika sana.

Majaliwa alitupotosha kwa kusema kwamba raisi yupo njema na anachapa kazi ikulu while samia anatuambia kwamba tar hizo alikuwa anapewa matibabu mzena.

Walikua wanatuficha ili sijui wamle myama😡😡😡😡🤬🤬🤬🤬
 
Tunajua jamaa alikuwa anapiga yeye na team yake, ila wengine walikuwa wanakipata cha moto wakidokoa

Sasa ni mwendo wa

1. Wizi kwenye harimashauri
2. Wizi kwenye wizara kila mtu ataiba itajulikana mbeleni
3. Wizi kwenye mifuko ya jamii
4. Wizi kwenye mashirika ya umma

Nchi hii itakuwa mikononi mwa deep state wizi utakuwa wizi

Mafisadi wazungu watarudi na mikataba ya wizi deep state itauza nchi maana hawana huruma na nchi

Mark my words tutapoteana
Kwenye watu wengi huwezi kukomesha wizi unauwezo wa kuupunguza tu 'where there many people you can not stop stealing ,you can only control'
 
Hivi mwamba kalala kweliii au wanatupima upepo .kama siamini vile[emoji26][emoji26]
 
Sio rahisi, mzee ameacha legacyjapo sielewi kwa nn watu wameamka bila hofu na wanaelekea makazini.....wkt wa mwl tiki seace chumbani, watu kimya maredio yakaimba, yakatuomboleza nk
Sasa hofu ya Nini?si tuko kwenye maombolezo?tunachapa kazi huku tukiomboleza🙏
 
Lakini kwa nini wasaidizi wake hawakuwa mstari wa mbele kulinda uhai wa kimwili wa huyu ndugu yetu? Kwa nini walimwacha afanye atakavyo?

Check up ni muhimu sana ila kama alikua hapandi ndege mda mrefu apo ni shida pia!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom