Umenikumbusha 2015 wakati wa kampeni.Lowassa kama namuona. Tukanyage kwa adabu Ardhi ya Allah.
Umeandika kibinadamu sana hujaandika kama mtu hongera sana mkuuAlikuwa na mema yake na mabaya yake, kama tulivyo wengine wote. Apumzike kwa amani anapostahili..
NdiyoKwa hiyo saivi atapandishwa?
HakikaTuwaombe tu
Ndo mjue kwamba hao mnaowaamini wanatake advantage ya Imani yenu kwao kuwalisha matango poriKuna watu wamechangia Kifo cha Rais Wetu Mpendwa. Watanzania Sisi Sio Wavivu wa Kuomba kwa Mungu lakini Hatuwezi Kuomba Gizani Bila Kujua. Kama Tuliweza Kufunga kwa Kuomba Kuhusu Corona Mwaka Uliopita Tusingeshindwa kufunga na Kuomba Kwa Siku 3 kati ya Tarehe 06/3/2021 hadi leo, Huenda Mungu angesikia Maombi Yetu...
HongeraNdiyo
Pole sana, mimi pia nimepata jakamoyo sana.
Mungu atufariji tu my drPole sana, mimi pia nimepata jakamoyo sana.
Hawapaswi kumwogopa bali ni kanuni na sheria wao kumlinda Rais. Ukiwa na Cheo hicho hujipendei cha kufanya bali kufuata misingi ya nchi. Hili ni tatizo la kumwacha mtu aamue na kufanya atakavyo wakati wapo tuliowaajiri kwa kazi hiyo.Check up ni muhimu sana ila kama alikua hapandi ndege mda mrefu apo ni shida pia!
Tell us the truth, how do u discharge a patient only to come back and die? Tuambieni ukweli?
Mda si mrefu tutaanza kutambuana vizuri tu hapo, mijizi yote na upuuzi wote unaanza ulipoishia.Ngoja ule ubabe wa matrafiki kupigwa makofi na kupigiwa simu ma OCD wao urudi maana tumeishi kwa kuheshimiana sana katika kipindi chote cha mzee.
Muda wa ule utaratibu wa "Unanijua mie ni nani?" kurudi kwa kasi.
Hatuishi milele. Ishi vizuri na watu. Idiot.Fundisho gani, kwani hata ukifundishwa hutakufa? Let the bygones be bygones. Hivi tukifundishwa kuishi vizuri na watu ndio tutaishi milele?
Tujifunze kuishi mazuri ya mtu, hayo mengine tuachane nayo coz hakuna anayekufa na mazuri tu au mabaya tu.
Huu wizi utakaofanyika baada ya hapa hautaupita wa JPM. Kama mnabisha Mama yetu aruhusu Uhuru utaona makaburi yatakavyofukuliwa.Tunajua jamaa alikuwa anapiga yeye na team yake, ila wengine walikuwa wanakipata cha moto wakidokoa.
Mungu hapangiwi mkuuLakini kwa nini wasaidizi wake hawakuwa mstari wa mbele kulinda uhai wa kimwili wa huyu ndugu yetu? Kwa nini walimwacha afanye atakavyo?
Private hiyo mkuu! Sijui km alikua nawashauri wazuri wa afya rais lazima afanjiwe annually check up nje au ndani! Angeenda hata south basi dah!Hawapaswi kumwogopa bali ni kanuni na sheria wao kumlinda Rais. Ukiwa na Cheo hicho hujipendei cha kufanya bali kufuata misingi ya nchi. Hili ni tatizo la kumwacha mtu aamue na kufanya atakavyo wakati wapo tuliowaajiri kwa kazi hiyo.
Hivi hii Hospitali alikofia ni ya Serikali?