TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
.
20210318_083438.jpg
 
Ewaaaaahhhh... kipindi cha JK ambacho wanasema kulikua na ufisadi mwingi.. hela in ilikuwepo mtaani tofauti na sasa
 
Kuna watu wamechangia Kifo cha Rais Wetu Mpendwa. Watanzania Sisi Sio Wavivu wa Kuomba kwa Mungu lakini Hatuwezi Kuomba Gizani Bila Kujua. Kama Tuliweza Kufunga kwa Kuomba Kuhusu Corona Mwaka Uliopita Tusingeshindwa kufunga na Kuomba Kwa Siku 3 kati ya Tarehe 06/3/2021 hadi leo, Huenda Mungu angesikia Maombi Yetu...
Ndo mjue kwamba hao mnaowaamini wanatake advantage ya Imani yenu kwao kuwalisha matango pori
 
Check up ni muhimu sana ila kama alikua hapandi ndege mda mrefu apo ni shida pia!
Hawapaswi kumwogopa bali ni kanuni na sheria wao kumlinda Rais. Ukiwa na Cheo hicho hujipendei cha kufanya bali kufuata misingi ya nchi. Hili ni tatizo la kumwacha mtu aamue na kufanya atakavyo wakati wapo tuliowaajiri kwa kazi hiyo.

Hivi hii Hospitali alikofia ni ya Serikali?
 
Tell us the truth, how do u discharge a patient only to come back and die? Tuambieni ukweli?

We unaamini kafariki jana?kuna protocols za kufuata hawatangazi tu! Possible alikufa one week before,wakaweka mambo sawa kwanza!na kucheki to do list zake na process za msiba na replacements zitaendaje na nani atakua nani before kupeleka public. Msiba Rais ni national and regional issue sio family issues
 
Ngoja ule ubabe wa matrafiki kupigwa makofi na kupigiwa simu ma OCD wao urudi maana tumeishi kwa kuheshimiana sana katika kipindi chote cha mzee.

Muda wa ule utaratibu wa "Unanijua mie ni nani?" kurudi kwa kasi.
Mda si mrefu tutaanza kutambuana vizuri tu hapo, mijizi yote na upuuzi wote unaanza ulipoishia.
Tunarudi moja 1.
 
Fundisho gani, kwani hata ukifundishwa hutakufa? Let the bygones be bygones. Hivi tukifundishwa kuishi vizuri na watu ndio tutaishi milele?

Tujifunze kuishi mazuri ya mtu, hayo mengine tuachane nayo coz hakuna anayekufa na mazuri tu au mabaya tu.
Hatuishi milele. Ishi vizuri na watu. Idiot.
 
Tunajua jamaa alikuwa anapiga yeye na team yake, ila wengine walikuwa wanakipata cha moto wakidokoa.
Huu wizi utakaofanyika baada ya hapa hautaupita wa JPM. Kama mnabisha Mama yetu aruhusu Uhuru utaona makaburi yatakavyofukuliwa.
 
Hawapaswi kumwogopa bali ni kanuni na sheria wao kumlinda Rais. Ukiwa na Cheo hicho hujipendei cha kufanya bali kufuata misingi ya nchi. Hili ni tatizo la kumwacha mtu aamue na kufanya atakavyo wakati wapo tuliowaajiri kwa kazi hiyo.

Hivi hii Hospitali alikofia ni ya Serikali?
Private hiyo mkuu! Sijui km alikua nawashauri wazuri wa afya rais lazima afanjiwe annually check up nje au ndani! Angeenda hata south basi dah!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom