Adam-Saffi
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 394
- 305
Tulikuwa na manabii uchwara na maskofu fake na mashehe ubwabwa wanafikiHivi jamani hakuna hata manabii au wachungaji wangemuombea akapona..Mungu ni muweza wa yote then why why why.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Lini unakuja nyumbani mkuu?Pumzika kwa amani rais Magufuli.
Pole kwa Watanzania wote.
Natoa wito tuungane kiutu bila kujali siasa katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Inamaana Daktari wake hakuona kuwa huyu mtu anahitaji mapumziko? Inamaana huwa hampimi, sasa kazi yake nini? Mimi nipo na madaktari wake tu..Mkuu, it was too late.
Hata MOI waliona hiyo (worse condition) ndo ikaamuliwa aende Mzena kwa final analysis.
Ukweli utapatikana 2026 kama tutakuwepo,saivi ni umeme wa kwenye moyo tu ndilo jibu lililobaki,,lakini Daktari wa rais hakujua kabisa hali ya mteja wake?Serikali semeni ukweli kuwa ni ugonjwa gani uliomua rais wetu? Siamini kama Afib ndiyo chanzo kikubwa kwa sababu hiyo inasababishwa (triggered) na underlying conditions. Kuna kitu kinafichwa hapa. Chronic Atrial fibrillation huwa unakuwa na chanzo. Tunataka ukweli
Sisi kama UVCCM - KONDOA tuna ahidi kuyaenzi na kuyaendeleza yale yote aliyotuachia Mh RAIS *SAID I. NDWATA*Upigaji ulikuwa unaendelea labda wewe ndo ulikuwa hupigi.Watapiga kina nao CHADEMA au?
Leo umeongea point..leoPumzika kwa amani rais Magufuli.
Pole kwa Watanzania wote.
Natoa wito tuungane kiutu bila kujali siasa katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Wafu hawajui neno lolote mtu akifa amekufa ni sawa non-living thing hayo maombi mgeomba akiwa hai kama alikufa katka dhuluma au haki Mungu ndiye ataamua wakati wa ufufuo na hukumuMwenye enzi Mungu, wewe ni mwingi wa rehema, mimi mja wako niko mbele yako nikiuomba umpokee mja wako aweze kuurithi ufalme wa mbingu.Amen
Kwamba umeme upo low-voltage! auUkweli utapatikana 2026 kama tutakuwepo,saivi ni umeme wa kwenye moyo tu ndilo jibu lililobaki,,lakini Daktari wa rais hakujua kabisa hali ya mteja wake?
Huwa wanasema raha ya upinzani upate wa kukinzana naye.akikisekana raha yote inapotea.Leo umeongea point..leo
Nimekuonyesha ujue jinsi Magufuli alivyokuwa katili sanakwahiyo lissu ndio kamuua Magufuli au??
Ngoja nikutafutie mawasiliano yake, mara ya mwisho alionekana nyumbani kwake mwibalaDuuuuh, nitamfikiaje mkuu
Mwambieni na huyo mama wasije sema ni nguvu za gizaCorona virus siyo shetani! Ni ugonjwa na usichukuliwe mzaha hata kidogo hasa kwa mtu mwenye tatizo la ziada!
AminaAlikuwa na mema yake na mabaya yake, kama tulivyo wengine wote. Apumzike kwa amani anapostahili.
Taarifa nzito kwa kweli, halijawahi kutokea hili kwenye nchi yetu Rais kufariki akiwa madarakani, Mungu atuvushe salama.
Nimekumbuka maneno ya Mfalme Suleiman alipoulizwa na Mungu nikupe nini, akamjibu naomba hekima niwaongoze vizuri hawa ulionipa.
Lissu aliongea mengi tu kabla Magufuli hajafariki, Lissu ni katili??Nimekuonyesha ujue jinsi magufuli alivyokuwa katili sana
Mlivyokomaaa na corona,utadhania imeondoa magonjwa mengine kwa ujio wake.Mwambieni na huyo mama wasije sema ni nguvu za giza
Mwanadamu ni mavumbi na mavumbini lazima atarudi.Unapata wapi nguvu ya kucomment?
Nilijua utakuwa umejifungia unaomboleza