TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Why was the death announced in Tanga. She could have to Dodoma or dar and be flanked be othe top leaders like PM and chief of the army. That would show they are United. Where were the top leaders?
 
Pumzika kwa amani rais Magufuli.

Pole kwa Watanzania wote.

Natoa wito tuungane kiutu bila kujali siasa katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Lini unakuja nyumbani mkuu?
Kuna kipindi ulisema mpaka mzee baba aondoke madarakani
 
Mkuu, it was too late.

Hata MOI waliona hiyo (worse condition) ndo ikaamuliwa aende Mzena kwa final analysis.
Inamaana Daktari wake hakuona kuwa huyu mtu anahitaji mapumziko? Inamaana huwa hampimi, sasa kazi yake nini? Mimi nipo na madaktari wake tu..
 
Mwenye enzi Mungu, wewe ni mwingi wa rehema, mimi mja wako niko mbele yako nikiuomba umpokee mja wako aweze kuurithi ufalme wa mbingu.Amen
 
Serikali semeni ukweli kuwa ni ugonjwa gani uliomua rais wetu? Siamini kama Afib ndiyo chanzo kikubwa kwa sababu hiyo inasababishwa (triggered) na underlying conditions. Kuna kitu kinafichwa hapa. Chronic Atrial fibrillation huwa unakuwa na chanzo. Tunataka ukweli
Ukweli utapatikana 2026 kama tutakuwepo,saivi ni umeme wa kwenye moyo tu ndilo jibu lililobaki,,lakini Daktari wa rais hakujua kabisa hali ya mteja wake?
 
UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM -KONDOA)
Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwapa pole watanzania wote kwa kumpoteza raisi wetu kipenzi DKT JOHN JOSEPH MAGUFULI hakika vizuri havidumu

Pia UVCCM -KONDOA Wanapenda kutoa pole na salam za rambirambi kwa CHAMA CHA MAPINDUZI kwa kumpoteza M.kiti imara na shujaa aliekijenga na kukiimarisha chama kwa muda mfupi mnoo Poleni saana CHAMA CHA MAPINDUZI hayo ndio mapenzi ya MUNGU

Kwa upekee pia UVCCM - KONDOA tunatoa pole kwa jeshi la TANZANIA kwa kumpoteza Amir Jeshi Mkuu wa jeshi la Tanzania poleni saana Hakuna kitachobaki milele

Aidha UVCCM - KONDOA inawaasa watanzania wote kutokuhuzunika saana kutokana na msiba huu bali huu ni muda wa kutafakari na kuyafanyia kazi makubwa aliyotuAchia raisi wetu

Sisi kama UVCCM - KONDOA tuna ahidi kuyaenzi na kuyaendeleza yale yote aliyotuachia Mh RAIS

TUJITAHIDI KUYAISHI YALIYOMEMA NA KUENDELEZA MISINGI ALIYOTUACHIA

WALOKUA WAKITENDA VIZURI KWAAJILI YA MAGUFULI
MAGUFULI hayupo hai tena
Waliokua wakitenda mema kwaajili ya MUNGU
MUNGU bado yupo hai


*SAID I. NDWATA*
Mwenyekiti UVCCM - KONDOA

Viva VIJANA viva
Screenshot_20210314-042508_Gallery.jpg
 
Mwenye enzi Mungu, wewe ni mwingi wa rehema, mimi mja wako niko mbele yako nikiuomba umpokee mja wako aweze kuurithi ufalme wa mbingu.Amen
Wafu hawajui neno lolote mtu akifa amekufa ni sawa non-living thing hayo maombi mgeomba akiwa hai kama alikufa katka dhuluma au haki Mungu ndiye ataamua wakati wa ufufuo na hukumu
 
Alikuwa na mema yake na mabaya yake, kama tulivyo wengine wote. Apumzike kwa amani anapostahili.

Taarifa nzito kwa kweli, halijawahi kutokea hili kwenye nchi yetu Rais kufariki akiwa madarakani, Mungu atuvushe salama.

Nimekumbuka maneno ya Mfalme Suleiman alipoulizwa na Mungu nikupe nini, akamjibu naomba hekima niwaongoze vizuri hawa ulionipa.
Amina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom