TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kuna watu wenge kwa hakika wanamzungumzia katka mabaya tu kana kwamba wao wako safi kwa kila kitu, kabla haujamhukumu mtu katika ubaya jitazane kwanza wewe je kila mmoja anakupenda katika jamii inayokuzunguka na kama sio basi ujue una madhaifu yako, ni kiongozi gani ambaye alichagawa chakula nchi nzima au kutoa pesa kwa kila mtanzania mbona wote waliopita hali ni ile ile tu, Tatizo tunajenga palipo bomoka hivo tunabaki kubebeshana lawama
 
FB_IMG_1616056676066.jpg
 
Kuna wakati uliowekwa wa kila kitu, hata kuna wakati wa kila jambo chini ya mbingu: wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa.

Umepigana vita vilivyo vigumu mwendo umeumaliza,imani umeilinda,tutakukumbuka daima!

Upumzike kwa amani supreme Ruler JPM.
 
Khamis: Aisee umesikia taarifa kihusu mwamba Magufuli?

Mussa: Nimezisikia toka jana usiku, nimeumia sana.

Khamis: Inauma sana ndugu yangu...ila ndio hivyo jamaa hajatuacha vibaya.

Mussa: Mwamba amekwepa mishale mingi sana, hatimaye kapumuzika.

Ila kwa kazi nzuri na za kizalendo alizofanya, Mungu atamulipa. Nimegundua leo kuwa nilikuwa nampenda sana huyu jamaa.

Khamis: Ndio hivyo mkuu, jamaa hakuwa na urafiki kwenye kazi, nakumbuka kipindi akiwa waziri, alinyweshwa sumu ili afe ila Mungu akamuweka ili aijenge Tanzania na kweli jamaa kaijenga sana.

Mussa: Nachoshukuru jembe ametuacha salama.

Kama kuchukiwa na matajiri wanyonyaji, Magufuli alichukiwa sana akuremba uongo.

NATAMANI SIKU MOJA NISHIKANE NAE HATA MKONO WA PONGEZI BAADA YA UFUFUO.
 
Huwa wanasema raha ya upinzani upate wa kukinzana naye.akikisekana raha yote inapotea.

Huwezi amini hiki ndicho kinawezakuwa kifo rasmi cha umaarufu wa chadema.
Sio kwamba aliyedhamiria kuua upinzani sasa hayupo tena kwahiyo upinzani utapaa kwa kasi ya kimbunga.
 
Hakika kazi ya Mola haina makosa.
Tusighafirike na kupelekea kufuru. Tumeletwa na kwake tutarejeya. Mollah akurehem mpendwa wetu Dkt. JPM
 
... why siku 21 badala ya 14 zilizoamriwa na the de facto Amiri Jeshi Mkuu Her Excellence Samia Suluhu Hassan? Something wrong?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom