Khamis: Aisee umesikia taarifa kihusu mwamba Magufuli?
Mussa: Nimezisikia toka jana usiku, nimeumia sana.
Khamis: Inauma sana ndugu yangu...ila ndio hivyo jamaa hajatuacha vibaya.
Mussa: Mwamba amekwepa mishale mingi sana, hatimaye kapumuzika.
Ila kwa kazi nzuri na za kizalendo alizofanya, Mungu atamulipa. Nimegundua leo kuwa nilikuwa nampenda sana huyu jamaa.
Khamis: Ndio hivyo mkuu, jamaa hakuwa na urafiki kwenye kazi, nakumbuka kipindi akiwa waziri, alinyweshwa sumu ili afe ila Mungu akamuweka ili aijenge Tanzania na kweli jamaa kaijenga sana.
Mussa: Nachoshukuru jembe ametuacha salama.
Kama kuchukiwa na matajiri wanyonyaji, Magufuli alichukiwa sana akuremba uongo.
NATAMANI SIKU MOJA NISHIKANE NAE HATA MKONO WA PONGEZI BAADA YA UFUFUO.